Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Mwanzo mgumu atajua tu mauno huwa wana mafunzo kwenye mila na desturi zao anatakiwa akiolewa ndio aje ku kuonyesha nn! Aliambiwa aje afanye kwako
Wewe huna demu hujui kitu..🤣🤣 inaonekana upo hovyo Sana kiakili
 
Hapo kWa SINGO MAZA naungana na wazazi wako. Ukikaidi hata LAANA yangu ikufike pia
 
Sisi kwenye familia yetu hatufundishwi uzinzi au dhambi tunaambiwa tukae mbali na dhambi yaani dhambi sio ya kuikimbilia

Tusiguse vitu ambavyo sio mali zetu, tusiwe wezi
Bas tulia na uboya wako usiambukize wengine Baki na dini yako
 
Wapo kibao wameoa bikra na walala hoi tu huko uswahili hamna chochote. Unaoa mwanamke hajasoma Hana chochote na we pia coz ni maskini unakimbilia bikra tu mwisho wa siku watoto wanazaliwa katika umaskini kisa akili za kingono tu. Bikra ni jambo la siku moja. Tafuta mwanamke wa kujenga nae familia
 
🤣🤣🤣We ni muongo. Huna data kuprove hivyo. Hata mkeo akichepuka anaenda kwa mwingine sio lazma amfate aliyemtoa bikra miaka 20 iliyopita huko kijijini. Hii ni dhana potofu. Sasa bikra utunze kwani ni hela Ile. Watu wamekua kifikra as long as mtu amekuwa mwanamke kufanya mapenzi ni kitu Cha kawaida sheria za dini kipindi hicho mtu mwenye miaka 18 anaoa demu wa miaka 7 si ujinga huo...kisa manyege Yao. Saa hivi dunia imeendelea Kuna uhuru so it's pointless kusubiria miaka 40 ndo uoe mtoto wa miaka 14 kijijini kisa shimo lake familia yako itasomeshwa na bikra au.. ndo maana waswahili hawana maendeleo
 
Ukimfunza mwanao ubaya wa kutolewa bikra na mtu ambaye sio mme wake awezi kwenda kumvulia yeyote chupi yake

Wanaume wanajifanya wavunja sheria always so be care full na binti yako
Sheria inasemaje?
 
Ee bwana eh kutoa bikra nshatoa binti km tatu na nusu hv, Ila msimamo Ni ule ule nije kuoa m/mke aliyeko seald kbsaa ...mwanaume kuoa m/mke ambaye katumika Ni kujishushia hadhi Huko sasa nyie jipeni moyo tu et oh
We oa usitupangie
 
Na Wewe nipe andiko lililosema Mungu tuoe wanawake wasio mabikra

Vitabu vyote vinakataa uzinifu, zinaa uasherati, kipi sasa unataka ueleweshe kama haujawa mzinifu au mtu wa zinaa bikra itakutokaje?

Wewe hutujui wanawake lakini unachonga sanaa mdomo humu JF hivi alikwambia nani kufanya ngono na mtu ni upendo waliokufundisha walikuongopea

Kwanza unanitoa bikira na kibamia chako nakutana na mzoa taka ana mjegeje ananyonyaa kila kona unafikiri nitakumbuka hicho kibamia chako

Naona unajitekenya tu mwwnyewe wanawake hutujui wewe unaishi kwa nadhariaa tu pole kijana mdogo
 
Shoga anatengenezwaje?
Wasagaji wanazalishwaje?
Mbona unaongea upuuzi tu
 
Na hasemi umri wake
 
Because sexual energy is power.

The strength of this power depends on whom you share your sexual energy with.✍️
There is no such thing. Usiongee vitu ambavyo havina uhalisia ongea facts sio hisia...acha Imani za kishirikina...elimu ipo
 
Kama uliolewa bila bikra tunza za wanao

Niwatunzie ili iwe nini uzuri mbinguni tunaenda na miili mipya hizo bikira wacha wanaume zao wazitafunee

Uzuri mwingine naona kila siku mishankupe ndio inaoolewa sasa sijui unamshauri nani asioe madungaembee

Sisi ndio tupo
 
Hana elimu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…