Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Kibaya Kila Mwanaume anatamani aoe mwanamke wa Aina hiyo ila wakati Huo huo Tunaona Jinsi watu wanajisifia Kuzitoa Hizo kwa mabinti wadogo wadogo. Na tena Kibaya zaidi wengi humu wanawasifia na kuwapa hata mbinu.
 
Hana demu alafu achana nae hata kiss hajawahi pewa...aangalie movie tu na x
 
Sisi kwenye familia yetu hatufundishwi uzinzi au dhambi tunaambiwa tukae mbali na dhambi yaani dhambi sio ya kuikimbilia

Tusiguse vitu ambavyo sio mali zetu, tusiwe wezi

Kwaiyo wewe bikira[emoji23]
 
Mawazo yako tumeyasikia blaza.
Tunakutakia kila la kheri wewe na huyo bikra wako
 
Mahari inahusiana nini?
Mi namshangaa, we demu la kiswahili huko uswazi ana miaka 20 ana bikra kaishia la Saba na demu mzuri wa ushuani anaelimu mpaka masters ana kazi nzuri unategemea nani atakuwa na mahari kubwa. Watu wanaangalia maendeleo ya familia...hivyo vishimo vipo tu
 
Reactions: Tsh
Ndio thamani ya mtoto wa kike, asiye na bikra wanaolewa bure, usitoe chochote msichana kama ana bikra utatapeliwa
Acha uwongo... nikupe demu ambae sio bikra ana miaka 30 ana elimu ya masters na mshahara wa million 2 kazini afu tuone hata Kama utanusa harufu yake. Acha umaskini wa kifikra na Mila potofu za kale
 
Ata asipoapata jibu, hatuoi wasio na bikira full stop hatutaki kuzunguka zunguka hii sio hoja ya kuitetea
🤣🤣🤣Huna hoja ndo maana unazunguka ka chizi...hujatoa hoja ya msingi hapa.. nasubiria
 
View attachment 2704779
Usomege maandiko Kama ni mkristo.
Na wewe huruhusiwi kuvaa nguo zenye material tofauti. Huruhusiwi kufanya kazi yoyote jumamosi hata kuchota maji, huruhusiwi kula shellfish...unatakiwa uwapige mawe mashoga na wanaofanya mapenzi kabla ya ndoa, na mtoto akimtukana mzazi unabidi umpige mawe. Si unajua Biblia Sana, mbona sheria hizi huzifati?
 
Hivi hawa mabinti wanaotolewa bikira wakiwa na miaka 12 hadi 10 kweli utapata bikira wakifika miaka 20 na kuendelea
 
Yatukane tu Mwayego wee!!
Maana hayaelewagi mwaya.
 
Hivi hawa mabinti wanaotolewa bikira wakiwa na miaka 12 hadi 10 kweli utapata bikira wakifika miaka 20 na kuendelea
Ndo maana mtume Muhammad alioa mtoto wa miaka 6 na kumla Akiwa na 9. Tamaa za bikra zinapelekea muoe watoto na watu wasio na akili na maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…