Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Assumptions kwenye comment yako ni kwamba: -
1. Lengo kuu la ndoa ni kujikwamua na ulala hoi
2. Kila bikra hajasoma
3. Wasiokuwa bikra ndo waliosoma na wenye maisha mazuri
4. Kuoa bikra ni starehe ya siku moja

Wewe unahitaji darasa kubwa sana ili kuelewa kwanini wanawake wameumbwa wakiwa na bikra tofauti na wanaume tulivyoumbwa. Ni ukweli usiopingika kwamba jamii yetu imeharibika sana kwasasa kiwango cha hao mabikra kuwa wachache katika umri wa kuolewa. Lakini hatujachelewa kuijenga jamii bora ya kesho kwa kuwaongoza mabinti zetu wajichunge.

Mbona wazanzibari na wapemba wapo bikra wengi tu? wao wanawezaje?
 
Umo umo Chief ila still wapo ambao wanajitunza na kutunzwa
Kuimba kupokezana, hizi habari za kurahisha eti "Bikira kitu gani", huko tuendapo wanawake hawahawa watakuja na style yao kwamba ni ushamba ku date na Mwanaume ambaye hana basha au ambaye hajawahi kuingiliwa kinyume cha maumbile na watasisutiza kuwa wanaume wa hivyo ni unique, wa taste yao. Sitashangaa na nyie ili kukidhi vigezo mkalegeza mikanda na kujishika magoti na kukubali kubakwa mchuzi wa bamia.
Kuna mambo hayapaswi kwa namna yoyote ile kulainishwa.
Wanaume wengi hadi sasa wameshalainishwa kwa mambo mengi sana na mmelainika.
Endeleeni kwenda ma wakati kwenye kila kitu. Maana nimeona siku hizi watoto wa kiume wakienda mahotelini wanagombania vyumba vyenye vile vibomba vya maji vinavyotoa maji kwa nguvu na kwenu ni kawaida tu.
 
Bikra ya mdomo na maskio inakusaidia Nini. Kwanza mdomo na maskio Yana bikra..mbona unaongea upuuzi tu wewe
Bikra ya masikio ni muhimu sana kwa mwanamke kuliko hata bikra ya chiu..

Kwasababu kusikia kwa mwanamke ndiyo kunaamsha hisia zake zaidi (ie) mwanamke anaamini sana anachokisikia kuliko anacho kiona

Ila katika kuoa lazima mzigo wambele na nyuma uwe sild na siyo vinginevyo
 
Bikra ya masikio ni muhimu sana kwa mwanamke kuliko hata bikra ya chiu..

Kwasababu kusikia kwa mwanamke ndiyo kunaamsha hisia zake zaidi (ie) mwanamke anaamini sana anachokisikia kuliko anacho kiona
Bikra ya ukeni, hizo za masikio sijui nini ni story tu za kitaa. Angekua na bikra ya masikio basi hiyo nyingine usingeikosa. Maana hiyo ndiyo kufuli.
 
Binti kaolewa bikra, baada ya miaka michache mumewe Mungu Akamujitaji akafa...na mwanamke kapata pengine kitoto chake kimoja au viwili....huyu mjane vipi hapaswi kuolewa tena!!!?
 
Tatizo katika kuziacha nafasi zao wao ndio wanatoa bikra za wanawake,wanatengeneza mashoga na kuzalisha wasagaji
Hii comment ya kijinga kabisa. Hivi unajua ugumu wa kumtoa bikra binti? kwanza umtongoze mpaka akubali, ufanikiwe kumpeleka mazingira ya faragha, ufanikiwe kumvua nguo, na ufanikiwe kumtoa hiyo bikra baada ya purukushani za ku-deal na uoga wake kwa kuwa hajawahi kufanya hicho kitendo! Yooote hayo ikiwa mabinti wamefunzwa kujitunza sio rahisi kumaliza mpaka mwisho wa mchakato wote huo.

Tatizo hili litaisha pale wanawake wenyewe mtakapo anza kuwa responsible na matokeo ya matendo yenu na mkaacha kulaumu wanaume wametoa bikra zenu kama vile hiyo bikra ni mfano wa handbag ambayo mtu anakupora tu ukipita karibu yake! Upumbavu kabisa!!!

Mwisho wa siku mnatolewa mibikra, mnachezewa, mnazalishwa bila kuwa kupanga na mnatelekezwa! halafu mnasema single mama and happy! non sense!!!
 
Sasa chief apa kama unatusema saiv used chakavu zimejaa mtaani uyo bikra unamtafuta kwa tochi au ndio tuoe wa miaka 5 uko iyo nayo ni kesi cjui unalijua ilo labda tupe ujuzi ni jinsi gani tutazitambua izo bikra saiv ata izo za marinda hakuna🤣🤣
 
Binti kaolewa bikra, baada ya miaka michache mumewe Mungu Akamujitaji akafa...na mwanamke kapata pengine kitoto chake kimoja au viwili....huyu mjane vipi hapaswi kuolewa tena!!!?
Single mama anaetoka kwenye ndoa huwezi kumlinganisha na single mama aliyejizalia bila ndoa! ni mbingu na ardhi tofauti yao. Ndio maana uislamu umehimiza kuoa zaidi ya mke mmoja ili angalau hawa wajane pia wastirike, na ni rahisi sana kwa mwanaume kupata utulivu kutoka kwa mjane uliyemtolea mfano hapo juu kuliko mwanamke aliyetumika ovyo bila ndoa, hawa waliotumika ovyo wanakuwaga kama gari bovu lilliowaka baada ya kusukumwa, gear moja safari!!!

Kwa maneno mepesi kabisa ni kwamba tofauti ya hawa wawili ni kwamba huyu mmoja yupo karibu zaidi na umalaya (and that is giving her benefit of the doubt) wakati yule mwengine yupo na stara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…