Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Aisee sawa ila ziwe bikra za kote kote kisogoni na usoni.

Yeah jitahidi usipate msichana ametokwa na bikra yeyote hata kwa romance awe mshamba aanze wew utakapo muoa

Ila inabidi uache uuni kama unachezea mabinti wa watu kupata bikra hautoweza.. tuliza ball Chief
 
Huyo mzee na mamako kweli hawana mambo ya msingi ya kufanya. Kabisa wamekukalish, tafuta bikra

Unaona sasa hivi maadili yalivyomomonyoka ni kutokana wazazi wanawaogopa kuwaambia ukweli watoto wao katika swala la malezi halitakiwi kuwa Na aibu

Unamuelekeza mtoto kweli, unamfundisha kumuuliza na kumwambia kipi kizuri kipi kibaya
Kuwa mzazi sio kitu rahisi

Watu wengi sana wana watoto lakini sio wazazi/walezi
 

Fact Chief
 
Basi umba wa kwako
 
Unaanza kuzingua Sasa bro...mi nakuambia... unaonekana chizi
 
Usilazimishe fikra zako kwa watu..wengine wanawaza Bora mtoto wake apate elimu maendeleo na maisha mazuri ndo aolewe kuliko Bikra. Coz mwisho wa siku akiwaza kutunza bikra tu ataozeshwa mapema Kama watoto wengi wa kiislamu
 
Wana hali gani ya maisha. Afu mwanamke hajaumbwa usilete dini katika hili, it's just nature na Ina maana yake. Kingine nimeshaelezea kwamba zamani mwanaume mwenye miaka 16 anaweza akawa na mke mwenye miaka 9. Coz of Hali ya maisha ya kipindi kile ndo maana hizi sheria za bikra sijui kuzini ziliwekwa. Saa hivi wewe mpaka uwe na miaka 30-40 ndo unaweza ukawa freshi kuoa na hapo mwanamke analindwa asiolewe mtoto so akifika 20s anaanza kukutana na wanaume, so it's completely normal. Ndo maana kuforce watu kuoana bikra saa hivi ni kitu personal sio Cha kulazimisha na hakina umuhimu kwani familia kibao zinaenda hivyo
 
Maadili sio kitu objective ni subjective. Mfano Mimi sinywi pombe ila siwezi lazimisha dunia nzima isinywe pombe kisa mi sipendi au naona mbaya. So na hivyo kwenye mambo ya ngono. We Kama unataka bikra tafuta, watu wameishi wameona wanataka mke wa aina gani so hawaangilii vitu temporary Kama bikra.
 
Basi umba wa kwako
Ni hivi. Siumbibwangu, Mungu alishamaliza kazi yake akawapa misingi. Hivyo wapo humu.
Jinsi ya kuwapata itategemea na viwanja unavyocheza. Kama una nyota ya fisi utaishia kula mizoga. Kama una nyota ya Twiga basi utakua unakula majani mabichi na machanga yale ya juu.
Nyie Mafungu ya kukosa wenye nyota za fisi huwa mna ujasiri na kelele kama za fisi ndiyo huwa mnadanganya na kuaminisha Jamii kuwa wanawake bikira na wenye tabia njema hawapo.
Acheni kudanganyana na kudanganya wengine, kwamba wanawake wa hivyo na wenye tabia njema hawapo, wanawake hao sana, sema ujasiri wenu wa ku share experience za huko mnako okota okota ndiyo kunapelekea Jamii iamini.
Twiga tungekuwa na ujasiri, sauti na kelele kama nyie tungewaambieni jinsi juu ya miti kulivyo na majani mazuri.
 
Acha kuongea ujinga,
 
Ehe ya mdomo? 🤣🤣Yaani watu wanaongea humu ni either hawana mademu au hawajawahi fanya mapenzi, siwezi amini watu wazima mpo hivi, nunueni hata Malaya basi muone...😣mnatia huruma
 
Sawa fata hio miti yako usilazimishe kila mtu awe na tamaa zako za kingono nchi huru hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…