Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Oa bikra mkuu, vyovyote utavyofanya juu yako hakikisha unaoa bikra
Aisee sawa ila ziwe bikra za kote kote kisogoni na usoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oa bikra mkuu, vyovyote utavyofanya juu yako hakikisha unaoa bikra
huu ni uwongo. Andika reference ya hayo maandishi, kama vile sura ya ngapi mfani ISAYA 23-29
Aisee sawa ila ziwe bikra za kote kote kisogoni na usoni.
Huyo mzee na mamako kweli hawana mambo ya msingi ya kufanya. Kabisa wamekukalish, tafuta bikra
Unaona sasa hivi maadili yalivyomomonyoka ni kutokana wazazi wanawaogopa kuwaambia ukweli watoto wao katika swala la malezi halitakiwi kuwa Na aibu
Unamuelekeza mtoto kweli, unamfundisha kumuuliza na kumwambia kipi kizuri kipi kibaya
Kuwa mzazi sio kitu rahisi
Watu wengi sana wana watoto lakini sio wazazi/walezi
Si Hawa wanaowaza chini badala ya juuAkina nani hao?
Basi umba wa kwakoMimi sijawahi kuoa Wanawake wa hivyo.
Kwangu mimi MWANAMKE ana nafasi ya kipekee sana kwangu, na nina heshima kubwa sana kwa MWANAMKE.
Nongelea MWANAMKE, siyo hao viruka njia.
MWANAMKE aliyelelewa, akayapokea malezi na kujitunza.
MWANAMKE siyo kiti cha daladala kwamna mtu ainuka, jalafu mwingune akae na mchezo uendelee vivyo hivyo. Mwanamke ni hazina ambayo mtunza funguo wake huwa ni mmoja tu. Lakini hawa wa siku hizi hawataki kiwa hazina, wanapenda kuwa Magazeti. Wanapenda kuwa Mabango ya Matangazo.
Unaanza kuzingua Sasa bro...mi nakuambia... unaonekana chiziAh ah ah ah
Wengine hawajazaliwa na bikra koo zao zina laana mkuu hapa naonekana kama nakosoa watu, pengine ni mwanamke ila bikra anaisikiaga tu Kwa wanawake wengine pengine alikeketwagwa ikatoka au alibakwakwa na wajomba zake watu wa vijijini si unajua kila mtu anajipigia tu ndani ya ukoo wao
Usilazimishe fikra zako kwa watu..wengine wanawaza Bora mtoto wake apate elimu maendeleo na maisha mazuri ndo aolewe kuliko Bikra. Coz mwisho wa siku akiwaza kutunza bikra tu ataozeshwa mapema Kama watoto wengi wa kiislamuUnaona sasa hivi maadili yalivyomomonyoka ni kutokana wazazi wanawaogopa kuwaambia ukweli watoto wao katika swala la malezi halitakiwi kuwa Na aibu
Unamuelekeza mtoto kweli, unamfundisha kumuuliza na kumwambia kipi kizuri kipi kibaya
Kuwa mzazi sio kitu rahisi
Watu wengi sana wana watoto lakini sio wazazi/walezi
Unaanza kuzingua Sasa bro...mi nakuambia... unaonekana chizi
Wana hali gani ya maisha. Afu mwanamke hajaumbwa usilete dini katika hili, it's just nature na Ina maana yake. Kingine nimeshaelezea kwamba zamani mwanaume mwenye miaka 16 anaweza akawa na mke mwenye miaka 9. Coz of Hali ya maisha ya kipindi kile ndo maana hizi sheria za bikra sijui kuzini ziliwekwa. Saa hivi wewe mpaka uwe na miaka 30-40 ndo unaweza ukawa freshi kuoa na hapo mwanamke analindwa asiolewe mtoto so akifika 20s anaanza kukutana na wanaume, so it's completely normal. Ndo maana kuforce watu kuoana bikra saa hivi ni kitu personal sio Cha kulazimisha na hakina umuhimu kwani familia kibao zinaenda hivyoAssumptions kwenye comment yako ni kwamba: -
1. Lengo kuu la ndoa ni kujikwamua na ulala hoi
2. Kila bikra hajasoma
3. Wasiokuwa bikra ndo waliosoma na wenye maisha mazuri
4. Kuoa bikra ni starehe ya siku moja
Wewe unahitaji darasa kubwa sana ili kuelewa kwanini wanawake wameumbwa wakiwa na bikra tofauti na wanaume tulivyoumbwa. Ni ukweli usiopingika kwamba jamii yetu imeharibika sana kwasasa kiwango cha hao mabikra kuwa wachache katika umri wa kuolewa. Lakini hatujachelewa kuijenga jamii bora ya kesho kwa kuwaongoza mabinti zetu wajichunge.
Mbona wazanzibari na wapemba wapo bikra wengi tu? wao wanawezaje?
Maadili sio kitu objective ni subjective. Mfano Mimi sinywi pombe ila siwezi lazimisha dunia nzima isinywe pombe kisa mi sipendi au naona mbaya. So na hivyo kwenye mambo ya ngono. We Kama unataka bikra tafuta, watu wameishi wameona wanataka mke wa aina gani so hawaangilii vitu temporary Kama bikra.Hapo anahitaji darasa kubwa mimi nimekuelewa Chief inaonekana anamtukana mleta mada for no reason inaonekana bikra anaisikia tu huyo nilimshahuri mleta uzi asimjibu kabsa atapoteza wakati wake
Mtu kama huyo ajibiwi... anahitaji asaidiwe shule, mtu mjinga sanaa anaonekana
Wapo mabikra wana elimu zao na wapo vizuri kabsa yeye ana assume kila bikra kichwani hamna kitu
Maadili ni muhimu sanaa hauwezi kujua amekulia mazingira gani? So uta west your time mkirumbana naye
Ni hivi. Siumbibwangu, Mungu alishamaliza kazi yake akawapa misingi. Hivyo wapo humu.Basi umba wa kwako
Acha kuongea ujinga,Kuimba kupokezana, hizi habari za kurahisha eti "Bikira kitu gani", huko tuendapo wanawake hawahawa watakuja na style yao kwamba ni ushamba ku date na Mwanaume ambaye hana basha au ambaye hajawahi kuingiliwa kinyume cha maumbile na watasisutiza kuwa wanaume wa hivyo ni unique, wa taste yao. Sitashangaa na nyie ili kukidhi vigezo mkalegeza mikanda na kujishika magoti na kukubali kubakwa mchuzi wa bamia.
Kuna mambo hayapaswi kwa namna yoyote ile kulainishwa.
Wanaume wengi hadi sasa wameshalainishwa kwa mambo mengi sana na mmelainika.
Endeleeni kwenda ma wakati kwenye kila kitu. Maana nimeona siku hizi watoto wa kiume wakienda mahotelini wanagombania vyumba vyenye vile vibomba vya maji vinavyotoa maji kwa nguvu na kwenu ni kawaida tu.
Kalaga baho!Acha kuongea ujinga,
Ehe ya mdomo? 🤣🤣Yaani watu wanaongea humu ni either hawana mademu au hawajawahi fanya mapenzi, siwezi amini watu wazima mpo hivi, nunueni hata Malaya basi muone...😣mnatia hurumaBikra ya masikio ni muhimu sana kwa mwanamke kuliko hata bikra ya chiu..
Kwasababu kusikia kwa mwanamke ndiyo kunaamsha hisia zake zaidi (ie) mwanamke anaamini sana anachokisikia kuliko anacho kiona
Ila katika kuoa lazima mzigo wambele na nyuma uwe sild na siyo vinginevyo
🤣🤣🤣Tuvijana twa CBE au IFM badala ya kusoma linawaza kuvunja bikra tu puuzi kweli
Sawa nishakuambiaga we tafuta wako usipangie watu pa kukojolea kisa Mila zako potofuMimi ni chizi kitambo tu
Sawa fata hio miti yako usilazimishe kila mtu awe na tamaa zako za kingono nchi huru hiiNi hivi. Siumbibwangu, Mungu alishamaliza kazi yake akawapa misingi. Hivyo wapo humu.
Jinsi ya kuwapata itategemea na viwanja unavyocheza. Kama una nyota ya fisi utaishia kula mizoga. Kama una nyota ya Twiga basi utakua unakula majani mabichi na machanga yale ya juu.
Nyie Mafungu ya kukosa wenye nyota za fisi huwa mna ujasiri na kelele kama za fisi ndiyo huwa mnadanganya na kuaminisha Jamii kuwa wanawake bikira na wenye tabia njema hawapo.
Acheni kudanganyana na kudanganya wengine, kwamba wanawake wa hivyo na wenye tabia njema hawapo, wanawake hao sana, sema ujasiri wenu wa ku share experience za huko mnako okota okota ndiyo kunapelekea Jamii iamini.
Twiga tungekuwa na ujasiri, sauti na kelele kama nyie tungewaambieni jinsi juu ya miti kulivyo na majani mazuri.
Wewe kuoa mwanamke ambaye kapumuliwa na wanaume wenzako imekusaidia nini..???
🤣🤣🤣🤣Hivi humu ndani hamjasoma au...sio mjibu maswali. Aya nijibu alafu me nitakujibuWewe kuoa mwanamke ambaye kapumuliwa na wanaume wenzako imekusaidia nini..???