Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Hakuna formula kwenye haya mambo usikariri
 
Kwan anamkumbuka aliyemtoa bikra tuu? .... hao wengine hawakumbukwi
Ndo maana nikasema hivi vitu Havina formula. Nimeandika hapo chini.
Wengine kama walimueza nao wako sehemu ya kumbukumbu, ila kutulia kwa mwanamke inategemea na akili yake, sio ubikra wala nini.

Hata wasiomuweza nao wako sehemu ya kumbukumbu, binadamu anakumbukaga vitu vya nyuma ila kuna ile kutotilia maanani.
 
Povu Kwa side B baada ya side A kutokubaliana na side B......🤣🤣🙌
 
Mimi nishawahi kumtoa demu bikira nikiamini kama unavyosema lakini siku nilipokuja kukutana nae kumuomba tena hakutaka hata kuniona na sikumkosea kitu. Nilipomchimba kwa undani akaniambia yeye alieshaolewa no mke wa mtu na bawezi fanya hivyo tena
 
Imekusaidia nini, (is it an issue) Kwanini hujaoa mwanamke mwenye bikira je wew ulikuwa bikira yaani hukuwahi kuchimba mgodi/migodi kabla huja mwingilia . wanaume mnapenda wanawake wasichimbwe migodi yao ila nyie ndiyo muanze kuichimba migodi bila kuwaoa?
 
Nilimtoa Bikira Mkewang,, haikuwa rahisi kumtoa,, nlivumilia kung'atwa 😂,, hatimaye ikazama yooote😂, kabla ya hapo nlikuwa tukikutana ikianza kupenya kilio hadi naamua kuhairisha mechi,,
Ilijirudia mara kadhaa,, tukiwa nje akawa ananiambia we usinionee huruma hata nikilia wee komaa tu unitoe,,

Basi siku ya siku nikakomaa na kung'atwa juu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…