Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Una umri gani kijana? Utakula bikra? Oa mwanamke mwenye akili na hekma acha ujinga
 
Kuoa mwanamke asiye bikra ni ujinga wa maksudi

Ni uamuzi ni Sawa na kwenda kununua gari ambayo used na kama una ufahamu zaidi lazima utafute gari ambayo haijawahi kutumia uenjoy gari kuliko kwenda kununua gari bovu
Who discusses with bots online about their marriage business!!! Get a life.
 
Kwaiyo mpk umri huo hujawai toa bikira

Sisi kwenye familia yetu hatufundishwi uzinzi au dhambi tunaambiwa tukae mbali na dhambi yaani dhambi sio ya kuikimbilia

Tusiguse vitu ambavyo sio mali zetu, tusiwe wezi
 
Una umri gani kijana? Utakula bikra? Oa mwanamke mwenye akili na hekma acha ujinga

Kama ulikosea hakikisha watoto wako hawafanyi makosa ambayo wewe uliyakosea

Ujinga unaanzia hapo kupata used wakati unatakiwa umiliki kitu kipya
 
Kama ulikosea hakikisha watoto wako hawafanyi makosa ambayo wewe uliyakosea

Ujinga unaanzia hapo kupata used wakati unatakiwa umiliki kitu kipya
Used uliambiwa ni gari hilo, mbona wewe unaoa na ulishazichakata kibao? Kama wewe ni bikra oa bikra..nilishapiga mabikra kadhaa lakini niliona wote ni vilaza hawafai kunizalia na kilunilelea watoto wangu hivyo bikra kwa mwanaume mwenye akili timamu sio kigezo ila kwa wewe unaependa ngono kuliko kula ni kigezo kikubwa sana.
 
Ntaoa bikra mkuu hata upinge vipi? Siwezi kuoa uchafu ambao mwanaume mwenzangu kaingiza uume wake

Na mimi binafsi siwezi nikazitoa bikra za watu Coz najua thamani yake

Kama ulifanya ujinga sio kila mtu afanye ujinga kama wewe
 
Who discusses with bots online about their marriage business!!! Get a life.

Ukweli unauma sanaa, hiyo ipo ki-UNGU kabsa chukieni lakini jamaa ameeka ukweli

Usioe kama msichana sio bikra
 
Una umri gani kijana? Utakula bikra? Oa mwanamke mwenye akili na hekma acha ujinga

Tunaoa mabikra ambao wana upendo na hekima na wenye akili pia

Tunapata vyote kama bikra zimewatoka wataolewa na waliowatoa bikra Chief
 
Mwanzo mgumu atajua tu mauno huwa wana mafunzo kwenye mila na desturi zao anatakiwa akiolewa ndio aje ku kuonyesha nn! Aliambiwa aje afanye kwako
Hizo mila umeziona wapi kwa sasa ndgu?? Mtoto anakulia shule tu mpaka anakua mtu mzima hizo mila anazijulia wapi??

Kuoa mke bikra ni inferiority complex ya wanaume wengi hasa wale wanaojidhania kua na uume mdogo(kibamia). Anahisi huko nje atakutana na bwawa hivyo pona pona yake ni kupata bikra.

Ubikra sio tabia, ubikra sio kielelezo cha uaminifu, Ubikra sio utakatifu.

Kikubwa tu usioe malaya. Hata ambae sio bikra kuna wakati alikua bikra.
 
Kuna makabila hawaoi msichana asiye bikra tena kwa ushahidi wakishatoa mahali wanatandika shuka jeupe na wanakaa nje ya chumba kuhakkkisha chumbani wataona ilee damu wanayoitaka inayodhaniwa ndio bikra yenyewe

Kama asipopatikana na bikra wanachukua mahali yao wanaondoka ipo hapo tanzania hiyo mila na inaendelezwa mpaka leo

Ukweli kwamba hatutakiwi kuoa wanawake ambao sio mabikra

Wapo wanaowafunza watoto wao kutunza bikra zao hakuna aibu kwenye kuelekeza binti yako katika swala zima la kuwa safe pamoja na ubize wote na mchanganyiko was mmomonyoko wa maadili na ukubwa wake
 
Kaka unapotosha umma, halafu mambo ya Imani na mambo ya kimtazamo binafsi ni vitu viwili tofauti

Wewe ndio unapotosha umma kama umeoa ambaye sio bikra polee mkuu

Kama bado hakikisha hauoi makombo ya mwengine
 
Kuoa bikra raha sana na ni kitu cha kujivunia sana ila nakupa angalizo siku mkeo bikra akachepuka akaenda kuonja ladha ya wakulungwa mandingo waliopaka vumbi la Congo hakika maisha yako lazima yawe mafupi.
 
Nimekuelewa hapo kwenye kuoa bikra ni raha sana.. huko kwengine sio kitu ambacho nafikiria kinitokee
 
Back
Top Bottom