Aizn
JF-Expert Member
- Dec 14, 2022
- 2,172
- 4,196
Nipe andiko linalosema mjane hafai kuolewa?
Nipe andiko linalosema msitunze bikra zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe andiko linalosema mjane hafai kuolewa?
Nimekupa mfano mdogo tu na nikakuuliza mjane hafai kuolewa kisa hana bikramNipe andiko linalosema msitunze bikra zenu
Who discusses with bots online about their marriage business!!! Get a life.Kuoa mwanamke asiye bikra ni ujinga wa maksudi
Ni uamuzi ni Sawa na kwenda kununua gari ambayo used na kama una ufahamu zaidi lazima utafute gari ambayo haijawahi kutumia uenjoy gari kuliko kwenda kununua gari bovu
Kwaiyo mpk umri huo hujawai toa bikira
Una umri gani kijana? Utakula bikra? Oa mwanamke mwenye akili na hekma acha ujinga
Used uliambiwa ni gari hilo, mbona wewe unaoa na ulishazichakata kibao? Kama wewe ni bikra oa bikra..nilishapiga mabikra kadhaa lakini niliona wote ni vilaza hawafai kunizalia na kilunilelea watoto wangu hivyo bikra kwa mwanaume mwenye akili timamu sio kigezo ila kwa wewe unaependa ngono kuliko kula ni kigezo kikubwa sana.Kama ulikosea hakikisha watoto wako hawafanyi makosa ambayo wewe uliyakosea
Ujinga unaanzia hapo kupata used wakati unatakiwa umiliki kitu kipya
Used uliambiwa ni gari hilo, mbona wewe unaoa na ulishazichakata kibao? Kama wewe ni bikra oa bikra..nilishapiga mabikra kadhaa lakini niliona wote ni vilaza hawafai kunizalia na kilunilelea watoto wangu hivyo bikra kwa mwanaume mwenye akili timamu sio kigezo ila kwa wewe unaependa ngono kuliko kula ni kigezo kikubwa sana.
Who discusses with bots online about their marriage business!!! Get a life.
Nimekupa mfano mdogo tu na nikakuuliza mjane hafai kuolewa kisa hana bikram
Una umri gani kijana? Utakula bikra? Oa mwanamke mwenye akili na hekma acha ujinga
Kaka unapotosha umma, halafu mambo ya Imani na mambo ya kimtazamo binafsi ni vitu viwili tofautiMjane anatakiwa alee wajukuu
Hizo mila umeziona wapi kwa sasa ndgu?? Mtoto anakulia shule tu mpaka anakua mtu mzima hizo mila anazijulia wapi??Mwanzo mgumu atajua tu mauno huwa wana mafunzo kwenye mila na desturi zao anatakiwa akiolewa ndio aje ku kuonyesha nn! Aliambiwa aje afanye kwako
Unajitekenya na kucheka mwenyewe... Nani kakukatalia kuoa bikra, we tuletee kadi tuje tucheze kwaito sieUkweli unauma sanaa, hiyo ipo ki-UNGU kabsa chukieni lakini jamaa ameeka ukweli
Usioe kama msichana sio bikra
Hizo mila umeziona wapi kwa sasa ndgu?? Mtoto anakulia shule tu mpaka anakua mtu mzima hizo mila anazijulia wapi??
Kuoa mke bikra ni inferiority complex ya wanaume wengi hasa wale wanaojidhania kua na uume mdogo(kibamia). Anahisi huko nje atakutana na bwawa hivyo pona pona yake ni kupata bikra.
Ubikra sio tabia, ubikra sio kielelezo cha uaminifu, Ubikra sio utakatifu.
Kikubwa tu usioe malaya. Hata ambae sio bikra kuna wakati alikua bikra.
Kaka unapotosha umma, halafu mambo ya Imani na mambo ya kimtazamo binafsi ni vitu viwili tofauti
Mimi kwa upande wangu bikra sioni kama ni kigezo cha kuwa ni mke boraWewe ndio unapotosha umma kama umeoa ambaye sio bikra polee mkuu
Kama bado hakikisha hauoi makombo ya mwengine
Kuoa bikra raha sana na ni kitu cha kujivunia sana ila nakupa angalizo siku mkeo bikra akachepuka akaenda kuonja ladha ya wakulungwa mandingo waliopaka vumbi la Congo hakika maisha yako lazima yawe mafupi.
Huna malengoHainaga makombo,utulivu kwenye ndoa haijalishi bikra au sio bikra kikubwa dua