mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hilo ninyi wamama ni jukumu lenu kwenye malezi ukimlea mwanao vibaya atazitoa au atatolewa bikra kabla ya wakati wake
Ndio uliweke sawa
Anayetoa bikra na anayetolewa bikra bila ndoa wote wakosaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ninyi wamama ni jukumu lenu kwenye malezi ukimlea mwanao vibaya atazitoa au atatolewa bikra kabla ya wakati wake
Mimi kwa upande wangu bikra sioni kama ni kigezo cha kuwa ni mke bora
Ndio uliweke sawa
Anayetoa bikra na anayetolewa bikra bila ndoa wote wakosaji
Rudi kwanza kwa mzee wako mulize hili swali kuhusu mama yako alimkuta vipi?Kama akiweza kutunza bikra ataweza kutunza na kuvumilia vingi kwenye ndoa, na kiuhalisia atakuwa bright kwenye kila jambo
Na kama kaweza kutoka bikra kabla ya kuolewa hakuna atakachoweza kukizingatia kwenye ndoa believe or not
Wanasababisha mvunjiko wa ndoa nyingi sanaa zinazoendelea kuvunjika sasa , anaamini yupo anayeweza kumkamua vizuri ambaye aliyemtoa bikra ndio maana wanavunja ndoa ovyo
Huna malengo
Ukitaka kuoa bikra jitathimini kwanza je na wewe ni bikra au ushaanza kuutupa kitambo!
Ee bwana eh kutoa bikra nshatoa binti km tatu na nusu hv, Ila msimamo Ni ule ule nije kuoa m/mke aliyeko seald kbsaa ...mwanaume kuoa m/mke ambaye katumika Ni kujishushia hadhi Huko sasa nyie jipeni moyo tu et oh
Angalia meno yake hasa akichekaUmeongea poit, lakini nitamjuaje kwa mtazama tu kama ni bikra?
Ukimfunza mwanao ubaya wa kutolewa bikra na mtu ambaye sio mme wake awezi kwenda kumvulia yeyote chupi yake
Wanaume wanajifanya wavunja sheria always so be care full na binti yako
Because sexual energy is power.Why?
Kwa hiyo uliowatoa wale waolewe na naniEe bwana eh kutoa bikra nshatoa binti km tatu na nusu hv, Ila msimamo Ni ule ule nije kuoa m/mke aliyeko seald kbsaa ...mwanaume kuoa m/mke ambaye katumika Ni kujishushia hadhi Huko sasa nyie jipeni moyo tu et oh
Navyokuona wewe ni muoga..lakini ubikra sio uaminifu wewe tengeneza njia wadau waje wapite kiurahisi. Mwanamke atatamani aonje za aina tofauti kama yako fupi atataka aonje na ndefu kama yako ni nyembamba atataka aonje na pana na kama unakibamia atataka aonje hogo la maana. Hivyo bikra ukishamfungua huwa wanacharuka sana tatizo wewe bado ni mdogo hujui kitu.Tunaoa mabikra ambao wana upendo na hekima na wenye akili pia
Tunapata vyote kama bikra zimewatoka wataolewa na waliowatoa bikra Chief
Kuwa bikra ni ishara ya kuwa na maadili chini ya malezi ya baba na mama au walezi wake ila sio guarantee ya kuwa na maadili chini ya mume.Kama akiweza kutunza bikra ataweza kutunza na kuvumilia vingi kwenye ndoa, na kiuhalisia atakuwa bright kwenye kila jambo.
Bado hujayajua maisha ya kuishi na mwanamke ndugu yangu. Maisha ya mwanamke hudhibitiwa na sauti yenye mamlaka anayoisikiliza siyo bikra uliyomkuta nayo.(Japo bikra ni ishara kuu kuwa, historia ya mwanamke ni ya kimaadili)Na kama kaweza kutoka bikra kabla ya kuolewa hakuna atakachoweza kukizingatia kwenye ndoa believe or not
Wanasababisha mvunjiko wa ndoa nyingi sanaa zinazoendelea kuvunjika sasa , anaamini yupo anayeweza kumkamua vizuri ambaye aliyemtoa bikra ndio maana wanavunja ndoa ovyo
Ni kweli ni vyema kuoa bikra, na hayo makabila hata wanaume nao mpaka wanafikia kuoa kuna mambo wanakua wamekamilisha kimila.Kuna makabila hawaoi msichana asiye bikra tena kwa ushahidi wakishatoa mahali wanatandika shuka jeupe na wanakaa nje ya chumba kuhakkkisha chumbani wataona ilee damu wanayoitaka inayodhaniwa ndio bikra yenyewe
Kama asipopatikana na bikra wanachukua mahali yao wanaondoka ipo hapo tanzania hiyo mila na inaendelezwa mpaka leo
Ukweli kwamba hatutakiwi kuoa wanawake ambao sio mabikra
Wapo wanaowafunza watoto wao kutunza bikra zao hakuna aibu kwenye kuelekeza binti yako katika swala zima la kuwa safe pamoja na ubize wote na mchanganyiko was mmomonyoko wa maadili na ukubwa wake
Kwahy wanaume tunatengeneza mpk wasagaji mama weweSiku wanaume wakimrudia mwenyezi Mungu wakajua kutumia nafasi zao walizopewa na Mungu; zinaa, ushoga, usagaji vitakua historia
Tatizo katika kuziacha nafasi zao wao ndio wanatoa bikra za wanawake,wanatengeneza mashoga na kuzalisha wasagaji
Halafu waowao ndio wanataka wakati wa kuoa waoe wanawake mabikra
Siku wanaume wakimrudia mwenyezi Mungu wakajua kutumia nafasi zao walizopewa na Mungu; zinaa, ushoga, usagaji vitakua historia
Tatizo katika kuziacha nafasi zao wao ndio wanatoa bikra za wanawake,wanatengeneza mashoga na kuzalisha wasagaji
Halafu waowao ndio wanataka wakati wa kuoa waoe wanawake mabikra
Washaolewa na waliowapenda