Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Hilo ninyi wamama ni jukumu lenu kwenye malezi ukimlea mwanao vibaya atazitoa au atatolewa bikra kabla ya wakati wake

Ndio uliweke sawa
Anayetoa bikra na anayetolewa bikra bila ndoa wote wakosaji
 
Mimi kwa upande wangu bikra sioni kama ni kigezo cha kuwa ni mke bora

Kama akiweza kutunza bikra ataweza kutunza na kuvumilia vingi kwenye ndoa, na kiuhalisia atakuwa bright kwenye kila jambo

Na kama kaweza kutoka bikra kabla ya kuolewa hakuna atakachoweza kukizingatia kwenye ndoa believe or not

Wanasababisha mvunjiko wa ndoa nyingi sanaa zinazoendelea kuvunjika sasa , anaamini yupo anayeweza kumkamua vizuri ambaye aliyemtoa bikra ndio maana wanavunja ndoa ovyo
 
Ndio uliweke sawa
Anayetoa bikra na anayetolewa bikra bila ndoa wote wakosaji

Ukimfunza mwanao ubaya wa kutolewa bikra na mtu ambaye sio mme wake awezi kwenda kumvulia yeyote chupi yake

Wanaume wanajifanya wavunja sheria always so be care full na binti yako
 
Kama akiweza kutunza bikra ataweza kutunza na kuvumilia vingi kwenye ndoa, na kiuhalisia atakuwa bright kwenye kila jambo

Na kama kaweza kutoka bikra kabla ya kuolewa hakuna atakachoweza kukizingatia kwenye ndoa believe or not

Wanasababisha mvunjiko wa ndoa nyingi sanaa zinazoendelea kuvunjika sasa , anaamini yupo anayeweza kumkamua vizuri ambaye aliyemtoa bikra ndio maana wanavunja ndoa ovyo
Rudi kwanza kwa mzee wako mulize hili swali kuhusu mama yako alimkuta vipi?
 
Ukitaka kuoa bikra jitathimini kwanza je na wewe ni bikra au ushaanza kuutupa kitambo!
 
Ee bwana eh kutoa bikra nshatoa binti km tatu na nusu hv, Ila msimamo Ni ule ule nije kuoa m/mke aliyeko seald kbsaa ...mwanaume kuoa m/mke ambaye katumika Ni kujishushia hadhi Huko sasa nyie jipeni moyo tu et oh
 
Ukitaka kuoa bikra jitathimini kwanza je na wewe ni bikra au ushaanza kuutupa kitambo!

Yeah kujitafakari muhimu, na wewe Kama uliharibu bikra za watu hakikisha usioe bikra maana mtatuharibia sisi ambao sio waharibifu
 
Ee bwana eh kutoa bikra nshatoa binti km tatu na nusu hv, Ila msimamo Ni ule ule nije kuoa m/mke aliyeko seald kbsaa ...mwanaume kuoa m/mke ambaye katumika Ni kujishushia hadhi Huko sasa nyie jipeni moyo tu et oh

Lazima uoe kitu ambacho hakihawahi kutumika kina heshima yake
 
Ukimfunza mwanao ubaya wa kutolewa bikra na mtu ambaye sio mme wake awezi kwenda kumvulia yeyote chupi yake

Wanaume wanajifanya wavunja sheria always so be care full na binti yako

Siku wanaume wakimrudia mwenyezi Mungu wakajua kutumia nafasi zao walizopewa na Mungu; zinaa, ushoga, usagaji vitakua historia
Tatizo katika kuziacha nafasi zao wao ndio wanatoa bikra za wanawake,wanatengeneza mashoga na kuzalisha wasagaji
Halafu waowao ndio wanataka wakati wa kuoa waoe wanawake mabikra
 
Ee bwana eh kutoa bikra nshatoa binti km tatu na nusu hv, Ila msimamo Ni ule ule nije kuoa m/mke aliyeko seald kbsaa ...mwanaume kuoa m/mke ambaye katumika Ni kujishushia hadhi Huko sasa nyie jipeni moyo tu et oh
Kwa hiyo uliowatoa wale waolewe na nani

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tunaoa mabikra ambao wana upendo na hekima na wenye akili pia

Tunapata vyote kama bikra zimewatoka wataolewa na waliowatoa bikra Chief
Navyokuona wewe ni muoga..lakini ubikra sio uaminifu wewe tengeneza njia wadau waje wapite kiurahisi. Mwanamke atatamani aonje za aina tofauti kama yako fupi atataka aonje na ndefu kama yako ni nyembamba atataka aonje na pana na kama unakibamia atataka aonje hogo la maana. Hivyo bikra ukishamfungua huwa wanacharuka sana tatizo wewe bado ni mdogo hujui kitu.
 
Kama akiweza kutunza bikra ataweza kutunza na kuvumilia vingi kwenye ndoa, na kiuhalisia atakuwa bright kwenye kila jambo.
Kuwa bikra ni ishara ya kuwa na maadili chini ya malezi ya baba na mama au walezi wake ila sio guarantee ya kuwa na maadili chini ya mume.

wanamke wengi wameumbwa kutii sauti fulani inayomuongoza, sasa sio kila sauti ina hivyo vigezo.

Unaweza pewa binti akiwa bikra na ukashindwa kuwa na sauti yenye mamlaka ya yeye kuisikiliza.

Ni kama mbegu tu, sio kwa sababu unapiga bao basi una uwezo wa kutungisha mimba.

Na kama kaweza kutoka bikra kabla ya kuolewa hakuna atakachoweza kukizingatia kwenye ndoa believe or not
Bado hujayajua maisha ya kuishi na mwanamke ndugu yangu. Maisha ya mwanamke hudhibitiwa na sauti yenye mamlaka anayoisikiliza siyo bikra uliyomkuta nayo.(Japo bikra ni ishara kuu kuwa, historia ya mwanamke ni ya kimaadili)

Bikra unayomkuta nayo mwanamke ni kutokana na kazi ya maadili aliyokutana nayo wakati wa ukuaji, na hapo kuna sauti aliisikiliza ikamuongoza wakati wa ukuaji wake. Akisha kuwa mkeo ni suala jingine.

Wanasababisha mvunjiko wa ndoa nyingi sanaa zinazoendelea kuvunjika sasa , anaamini yupo anayeweza kumkamua vizuri ambaye aliyemtoa bikra ndio maana wanavunja ndoa ovyo

Unadhani ndoa za bikra hazivunjiki? Ushajiuliza kwanini bikra nyingi sio mali ya waliozitoa? Kuna vijana wengi walitamani kuoa wanawake wao wa ujanani waliowatoa bikra na walishindwa.

Inawezekana ukapingana na mimi ila huo ndo uhalisia.

Oa bikra sawa, ni jambo zuri na sahihi ila kaa ukijua utulivu wa mwanamke hausababishwi na bikra.

Mkeo uliyemtoa bikra anaweza asikutii na akamtii mwanaume mwingine kabisa na kufata maelekezo yake mpaka hata kukukimbia.
 
Kuna makabila hawaoi msichana asiye bikra tena kwa ushahidi wakishatoa mahali wanatandika shuka jeupe na wanakaa nje ya chumba kuhakkkisha chumbani wataona ilee damu wanayoitaka inayodhaniwa ndio bikra yenyewe

Kama asipopatikana na bikra wanachukua mahali yao wanaondoka ipo hapo tanzania hiyo mila na inaendelezwa mpaka leo

Ukweli kwamba hatutakiwi kuoa wanawake ambao sio mabikra

Wapo wanaowafunza watoto wao kutunza bikra zao hakuna aibu kwenye kuelekeza binti yako katika swala zima la kuwa safe pamoja na ubize wote na mchanganyiko was mmomonyoko wa maadili na ukubwa wake
Ni kweli ni vyema kuoa bikra, na hayo makabila hata wanaume nao mpaka wanafikia kuoa kuna mambo wanakua wamekamilisha kimila.
Sasa wewe upo kwenye hilo kabila?? Bila shaka hulijui ila umesikia tu kua lipo hilo kabila!!

Kuna mdau hapo kasema ni kheri uoe mke mwenye tabia njema tu, hata mimi kwangu bikra sio kigezo kikuu.
 
Siku wanaume wakimrudia mwenyezi Mungu wakajua kutumia nafasi zao walizopewa na Mungu; zinaa, ushoga, usagaji vitakua historia
Tatizo katika kuziacha nafasi zao wao ndio wanatoa bikra za wanawake,wanatengeneza mashoga na kuzalisha wasagaji
Halafu waowao ndio wanataka wakati wa kuoa waoe wanawake mabikra
Kwahy wanaume tunatengeneza mpk wasagaji mama wewe
 
Siku wanaume wakimrudia mwenyezi Mungu wakajua kutumia nafasi zao walizopewa na Mungu; zinaa, ushoga, usagaji vitakua historia
Tatizo katika kuziacha nafasi zao wao ndio wanatoa bikra za wanawake,wanatengeneza mashoga na kuzalisha wasagaji
Halafu waowao ndio wanataka wakati wa kuoa waoe wanawake mabikra

Kijana anayetaka mwanamke bikra afahamu kuwa mwanamke aliyemkuta bikra

1. Alilishwa
2.Akavishwa
3. Akatunzwa
4. Akapewa malazi
5. Akapewa matibabu

Akatulia, akajitunza.

Sasa akishakuwa mkewe asidhani bikra itaprovide hayo yote na mwanamke kutulia.
 
Back
Top Bottom