Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Mtu huna demu si utakuwa hanisi haisimamiii au ikisimama haipenyi [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Natania

Bikra imekutoka ukiwa binti mdogo sana sio kosa lako

Joks
 
Kama ni Mwanamke ilitunguliwa kabla hujaolewa na now ni single mother ndo mana unaleta makasiriko na kama ni Mwanaume basi ulioa mwenye tundu kama la Ozone Layer mkuu
Jibu swali mbona mnakuwa Kama hamjasoma shule. Umeishia darasa la Saba au jibu swali
 
Kauli iliyotolewa na mtu huyo katika jamii ya mtandaoni inayosema kuwa wanaume wote waliofunga ndoa na wanawake wasio bikra ni wajinga na wanatumia vitu used na makombo ni ya kudharau na yenye upendeleo. Inadharau uwezo wa wanaume kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa mwenzi wa maisha na inaleta dhana potofu kwamba bikra ndiyo kigezo pekee cha kuamua thamani ya mwanamke.

Kwanza kabisa, ni muhimu kutambua kuwa ubikira wa mwanamke hauna uhusiano wowote na akili, uwezo, au thamani yake kama mwenzi wa maisha. Kuhusisha ubikira na akili au thamani ya mwanamke ni kosa la kimantiki na linaweza kuathiri vibaya maendeleo ya jamii yetu. Thamani ya mwanamke haitegemei hali yake ya ubikira, bali inategemea mambo kama vile utu, uaminifu, upendo, uelewa, na uwezo wa kujenga mahusiano yenye afya.

Pili, kauli hiyo inaonyesha dhana potofu kwamba wanaume wanapaswa kuwa na udhibiti kamili juu ya miili ya wanawake. Kila mtu ana haki ya kujiamulia maisha yake binafsi na kuamua jinsi anavyotaka kuishi. Kudai kuwa mwanamke anapaswa kuwa bikra kabla ya ndoa ni kuingilia uhuru wake wa kibinafsi na kumnyima haki yake ya kuchagua jinsi anavyotaka kuishi maisha yake.

Tatu, kauli hiyo inaonyesha mtazamo wa kijinsia ambao unadharau na kuwadhalilisha wanawake. Inaweka shinikizo kubwa na mzigo mzito kwa wanawake, ikidhani kuwa ubikira wao ndio msingi pekee wa thamani yao. Hii ni aina ya ubaguzi wa kijinsia ambao unapaswa kupingwa na kutokubalika katika jamii yetu.

Ni muhimu kutambua kuwa maoni haya yanayodharau na kudhalilisha wanawake hayana msingi wowote wa kisayansi au kiakili. Wanawake wana haki sawa na wanaume katika uchaguzi wa mwenzi wa maisha na hawapaswi kupimwa thamani yao kulingana na hali yao ya ubikira.

Katika jamii yetu, tunapaswa kuendeleza mazungumzo yenye heshima na usawa juu ya masuala ya mahusiano na ndoa. Ni muhimu kuondoa dhana potofu, ubaguzi, na upendeleo katika mitazamo yetu ili tuweze kujenga jamii yenye usawa na haki kwa wote.
 
Ah ah ah ah

Wengine hawajazaliwa na bikra koo zao zina laana mkuu hapa naonekana kama nakosoa watu, pengine ni mwanamke ila bikra anaisikiaga tu Kwa wanawake wengine pengine alikeketwagwa ikatoka au alibakwakwa na wajomba zake watu wa vijijini si unajua kila mtu anajipigia tu ndani ya ukoo wao

Wanatoa nyuma vipi na bara tutoe nyuma mbele zibaki

Wadau mkipata mda nendeni mkatembelee nyuzi za mamamzungu mtaona kwa nini? Anapingana sanaa na bikra

Msisahau nendeni mkasome page yake na katika nyuzi zake mtagundua nini hasa kinachomuuma kuhusiana na bikra mamamzungu

Click hapa utapelekwa moja kwa moja kwenye nyuzi zake mamamzungu alaf mtakuja mseme hapa kwanini ana ugomvi na bikra

Aha ha h ah ah ah ah ah maisha hayaa

Kumbee hakuwaga na bikra bwana daah so sad...

Sorry mamamzungu mimi nilileta mada sikujua Kama nimelenga watu kumradhi sama mamamzungu tusahameeane sio kusudio langu
 
Yaani we nishakuona huna hoja yoyote. Ukisema kitu bishana kwa hoja sio kuattack watu hio ni ad hominem, hushindi mdahalo hivyo. Yaani huna lolote mwanaume hovyo
 
Yaani we nishakuona huna hoja yoyote. Ukisema kitu bishana kwa hoja sio kuattack watu hio ni ad hominem, hushindi mdahalo hivyo. Yaani huna lolote mwanaume hovyo

Wewe ni mamamzungu nini? Umekuja na zuga na I’d nyingine ah ah ah ah ah ah

Uki ni attack na mimi naku attack ... Tt fo tati haina kutia unyonge

By the way nimeshamuomba radhi mamamzungu nadhani amenielewa sina tatzo naye ila nilienda kuchungulia kwenye account yake nijue kwa nini? Amekuwa ananipinga sanaa

Naendelea kutaka radhi Kwa mamamzungu zingine tunataniana tu hamna tatzo

mamamzungu I’m so sorry my love [emoji3590]
 
Ni kweli kabisa mwanaume yeyote mwenye kufikiria Kwa tahadhari Hana budi kuoa Bikra.Lakini Kwa Dunia ya sasa hivi yawezekana Kuna uhaba mkubwa Sana wa uwepo wa wanawake mabikra.

Wanaume wengi Huwa tunavutiwa na wanawake ambao ni mabikra na kama sio hivyo basi body count iwe ndogo kama upenyo wa sindano.

Kuna faida nyingi Sana zitokanazo na kuoa Bikra ikiwemo

1 Kuepuka mikosi: maana mwanamke pindi aliyelala na wanaume wengi hubeba maroho mengi ya Kila aina kutoka Kwa hao wanaume.Roho za Umaskini hasira na mengine mengi.Ambayo ukishalala naye na wewe utayapokea hayo maroho.

2 Kuepuka kulinganishwa na jamaa Fulani katika ufundi wa mapenzi .Ni jambo jema Kwa mwanaume na Mwanamke maana mwanamke ataridhika na alicho nacho Kwa kuwa hajawahi pata kingine kabla.

Nachosikitika ni kuwa wanaume tunataka tuoe mabikra lakini sisi ndyo wa kwanza kuwalaghai hao mabikra na kuwatoa Bikra kabla ya ndoa.

Tunakotimani hatuwezi kukipata Kwa mwenendo huu.Ukiachana na hivyo mavazi ya wanawake wa sasa yanachochea Sana amsha amsha za ngono hivyo kupelekea wanawake wengi kulaghaiwa kusudi mtu amalize hamu hapo tayari Bikra ishatolewa.

Tunatamani Bikra lakini wanaume na wanawake wote wanachangia uhaba wa Hichi kitu.
 
Wadau mkipata mda nendeni mkatembelee nyuzi za mamamzungu mtaona kwa nini? Anapingana sanaa na bikra

Msisahau nendeni mkasome page yake na katika nyuzi zake mtagundua nini hasa kinachomuuma kuhusiana na bikra mamamzungu

Click hapa utapelekwa moja kwa moja kwenye nyuzi zake mamamzungu alaf mtakuja mseme hapa kwanini ana ugomvi na bikra

Aha ha h ah ah ah ah ah maisha hayaa

Kumbee hakuwaga na bikra bwana daah so sad...

Sorry mamamzungu mimi nilileta mada sikujua Kama nimelenga watu kumradhi sama mamamzungu tusahameeane sio kusudio langu

Kuna jamaa alikwambia kuwa utatonesha vidonda vya watu na kuwa kuna watu wana makovu tena makubwa sanaa na alikwambia hauwezi pata rafiki utatukanwa mpaka ukome

Nimepitia kwa huyo uliyemmention hapo nimeona nyuzi zake, kwanini? Sasa asikupinge kwa maumivu yalee na ukizingatia amekuwa tofauti na kawaida ya wanawake wote

All in all nimefurahi ulivyomuomba radhi, big up ... ila kwa Kweli kuna watu wanapitia mengi sanaa mtu akikwambia story zake unaweza ukasema sio mtu wa kawaida
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajisumbuaaa tu usishindane na ulipitokaaa hebu jaribu kusoma nyuziii zangu zote then linganishaaaaaaa huonee kama utapata kweli hata mojaaaa

Pole jombaaa mimi bikiraa sinaaa kweliii ila vipi Kuna nyizi umeonaa nimeongelea nimemkumbuka alienitoa bikiraaa [emoji23]
Wewe pambana na kibamia chako bhn sisi tunatafuta wenye nazo

Kwaiyo umekaa ukaona huna hoja basi uanze kupitia nyuzi za watu ili uje ucomment kijana mdogo wewe hujui kitu endelea kuitafuta hiyo bikiraa huku ukichunguliaa hizo nyuziiiiiiiiiiii
 
Kuna jamaa alikwambia kuwa utatonesha vidonda vya watu na kuwa kuna watu wana makovu tena makubwa sanaa na alikwambia hauwezi pata rafiki utatukanwa mpaka ukome

Nimepitia kwa huyo uliyemmention hapo nimeona nyuzi zake, kwanini? Sasa asikupinge kwa maumivu yalee na ukizingatia amekuwa tofauti na kawaida ya wanawake wote

All in all nimefurahi ulivyomuomba radhi, big up ... ila kwa Kweli kuna watu wanapitia mengi sanaa mtu akikwambia story zake unaweza ukasema sio mtu wa kawaida

Sasa uliona nimeandika nimemkumbuka au Nina agano lolote na mtoa utepe bobuuuu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni mamamzungu nini? Umekuja na zuga na I’d nyingine ah ah ah ah ah ah

Uki ni attack na mimi naku attack ... Tt fo tati haina kutia unyonge

By the way nimeshamuomba radhi mamamzungu nadhani amenielewa sina tatzo naye ila nilienda kuchungulia kwenye account yake nijue kwa nini? Amekuwa ananipinga sanaa

Naendelea kutaka radhi Kwa mamamzungu zingine tunataniana tu hamna tatzo

mamamzungu I’m so sorry my love [emoji3590]

Unanitag tag sanaa wewe kijanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi tayari nilibebwa na kabebi boy kangu hapaa wewe endelea kutafutaa bikiraa tu
 
Wadau mkipata mda nendeni mkatembelee nyuzi za mamamzungu mtaona kwa nini? Anapingana sanaa na bikra

Msisahau nendeni mkasome page yake na katika nyuzi zake mtagundua nini hasa kinachomuuma kuhusiana na bikra mamamzungu

Click hapa utapelekwa moja kwa moja kwenye nyuzi zake mamamzungu alaf mtakuja mseme hapa kwanini ana ugomvi na bikra

Aha ha h ah ah ah ah ah maisha hayaa

Kumbee hakuwaga na bikra bwana daah so sad...

Sorry mamamzungu mimi nilileta mada sikujua Kama nimelenga watu kumradhi sama mamamzungu tusahameeane sio kusudio langu

Ila nimechekaa kijana wa hovyo sana wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanachapiwa wake Marais (kamuulize zuma) wenye walinzi everywhere sembuse wewe kisa Bikram ....hulka ya mwanadamu ni ubinafsi...Bikram hutolewa na viboo lazima atafute buldoza imchanechane ndani bila hivo kazibure
Duh!!!,Kwa hiyo sasa Wanaume tubadilishe ule msimamo wetu wa kuoa mwanamke mwenye bikra tu?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom