Kweli.Nichunguze bikra ya mwenzangu, kwani mie alinikuta bikra.. mie mwenyewe kama ingekuwa ni penseli, ungekuwa umebaki ufutio tu..
Una mjudge mtu kuanzia hapa mlipo kwenda mbele, mengine ni kutafuta matatizo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli.Nichunguze bikra ya mwenzangu, kwani mie alinikuta bikra.. mie mwenyewe kama ingekuwa ni penseli, ungekuwa umebaki ufutio tu..
Una mjudge mtu kuanzia hapa mlipo kwenda mbele, mengine ni kutafuta matatizo tu.
Sio Imani potofu bro, ni uhalisia.Imani Potofu.
Jaribu leo kumuuliza mkeo ama mchumba wako kuhusu aliyemtoa bikra.Huu ni uchochezi
Huu ni uchochezi
Huu ni ugomvi. Utaumia ndanindani .Jaribu leo kumuuliza mkeo ama mchumba wako kuhusu aliyemtoa bikra.
na kwanini wanaume hawabanwi kusubiri ndoa ni wanawake tu?Sio Imani potofu bro, ni uhalisia.
Wapo wanaume ambao hawajatoa bikra za watu. Tuko kibao tu.na kwanini wanaume hawabanwi kusubiri ndoa ni wanawake tu?
Kwa hiyo sisi tufanyeje? Mbona waliowatoa bikira wake zao tunawagongea huku mtaani? Ni maswali ya kijinga hayo! Hata ukimjua haikusaidii!1. Jaribu kujiuliza, Je nani alimtoa mke wako bikra?
2. Kama ni wewe ,je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
3. Ni ukweli usiopingika kuwa kwa wale ambao wake zao walitolewa bikra na wanaume wengine mahusiano yao ni tofauti sana wale ambao walitoa bikra za wake zao.Kwa nini?
4. Kwa kawaida mwanamke ukimpenda ukamtoa bikra na kumuoa basi kama mapenzi yenu yako katika msingi sahihi basi mtaishi maisha yenye furaha na amani sana na mtaweza pitia magumu mengi sana pamoja katika mapenzi yenu.
5. Kwa wanawake ambao unawao lakini sio wewe uliwatoa bikra ni muhimu ukafahamu kwa hakika namna ambavyo walipoteza usichana wako ili uelewa hasa maumivu waliyowahi kupitia.Kwa mara nyingi mwanamke hutolewa bikra ama na mtu ambaye anamuamini au kwa sababu ya kiherehere.
6. Kama una mke na siyo wewe uliyem-bikiri elewa kwamba maisha yenu yote mkeo anamkumbuka aliyemtoa bikra, hawezi kusahau kamwe..
7. Mwanaume elewa kwamba, mkeo akikutana na aliyemtoa bikra, mwili unalegea kama mbwa kwa chatu, na huyo mwanaume haombi, anapew bure kusafisha njia na kuondoa kutu na feeling yake inakuwa kubwa kuliko yako.
8. Kwa kawaida unapoamua kumfanya mwanamke kuwa wako wa maisha hilo ni jambo la muhimu kujua hasa iwapo mwanamke sio bikra,na ana umri mdogo na hana mtoto.Iwapo umri umeenda na ana mtoto walau mmoja sio lazima kujua.
Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje
Copied.
swali langu umelielewa unalikwepa,Wapo wanaume ambao hawajatoa bikra za watu. Tuko kibao tu.
Yeah haina Faida ya kumjua.Kwa hiyo sisi tufanyeje? Mbona waliowatoa bikira wake zao tunawagongea huku mtaani? Ni maswali ya kijinga hayo! Hata ukimjua haikusaidii!
yaani namaanisha, kwanini wanaume kufanya ngono kabla ya ndoa huonekana ni sawa?😂Swali lako siwezi jibu kwasababu sijawahi mbikiri mtu.
Waulize wengine watakuwa na majibu sahihi.
Ila kuna marafiki zangu wa kike tokea secondary wanasema hivyohivyo hawawezi sahau huyo mtu, wengine walitamani sana waolewe nao ila ndo hivyo.
Body morphology ya mwanaume na mwanamke ni tofauti.yaani namaanisha, kwanini wanaume kufanya ngono kabla ya ndoa huonekana ni sawa?😂
yaani namaanisha, kwanini wanaume kufanya ngono kabla ya ndoa huonekana ni sawa?😂
Hata ukilijua utalifanya nini?Yeah haina Faida ya kumjua.
Oyaa ngoja nitoke. Kuna jambo naenda kufanya .yaani namaanisha, kwanini wanaume kufanya ngono kabla ya ndoa huonekana ni sawa?😂
Kazi njema mkuu huko uendako!Oyaa ngoja nitoke. Kuna jambo naenda kufanya .
No. 7 ni uongo1. Jaribu kujiuliza, Je nani alimtoa mke wako bikra?
2. Kama ni wewe ,je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
3. Ni ukweli usiopingika kuwa kwa wale ambao wake zao walitolewa bikra na wanaume wengine mahusiano yao ni tofauti sana wale ambao walitoa bikra za wake zao.Kwa nini?
4. Kwa kawaida mwanamke ukimpenda ukamtoa bikra na kumuoa basi kama mapenzi yenu yako katika msingi sahihi basi mtaishi maisha yenye furaha na amani sana na mtaweza pitia magumu mengi sana pamoja katika mapenzi yenu.
5. Kwa wanawake ambao unawao lakini sio wewe uliwatoa bikra ni muhimu ukafahamu kwa hakika namna ambavyo walipoteza usichana wako ili uelewa hasa maumivu waliyowahi kupitia.Kwa mara nyingi mwanamke hutolewa bikra ama na mtu ambaye anamuamini au kwa sababu ya kiherehere.
6. Kama una mke na siyo wewe uliyem-bikiri elewa kwamba maisha yenu yote mkeo anamkumbuka aliyemtoa bikra, hawezi kusahau kamwe..
7. Mwanaume elewa kwamba, mkeo akikutana na aliyemtoa bikra, mwili unalegea kama mbwa kwa chatu, na huyo mwanaume haombi, anapew bure kusafisha njia na kuondoa kutu na feeling yake inakuwa kubwa kuliko yako.
8. Kwa kawaida unapoamua kumfanya mwanamke kuwa wako wa maisha hilo ni jambo la muhimu kujua hasa iwapo mwanamke sio bikra,na ana umri mdogo na hana mtoto.Iwapo umri umeenda na ana mtoto walau mmoja sio lazima kujua.
Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje
Copied.
Asante.Kazi njema mkuu huko uendako!
Mwanaume kama huna roho ya chuma usijaribu kododosa aliyemtoa bikra mkeoHuu ni ugomvi. Utaumia ndanindani .