Run to Jesus man, he can cure you wthout any payments...!Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱 shubamiiiiitKaka okoka umpe Yesu maisha yako hutakufa ili utasimulie matendo ya Mungu aliye mkuu. Muone mtumishi wa Mungu yeyote aliyejaa imani na Roho Mtakatifu atakuombea na kupona nenda kwenye kanisa la gamanywa au nenda kwa mwakasege. Mtafute Mungu tafadhali ondoa maisha ya kufa Mungu yu hai
una uhakika mungu yupo ama unaamini tu?Dah inaumiza sana hii kitu pole sana mkuu ni kipind unachotakiwa kuishi maisha ya kumpendeza zaidi mungu kuliko dunia.
Daaaa pole mkuuuRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Kwa maadili ya udaktari hili limekaaje?Thread Inaumiza sana hii....pole mkuu, Mungu ndie muweza wa yote, mtumainie yeye usikate tamaa
Nawashukuru wote kwa moyo wenu mwema wa kumsaidia ndugu yetu. Nashauri kama uwezo wake sio mkubwa sana basi aende SCOAN mwenyewe bila kupitia kwa agent ambapo gharama itakuwa ndogo sana.
Mfano kama atasafiri 24/05/2018 na kurejea 29/05/2018 kwa ethiopia Airline gharama zitakuwa kama ifuatavyo
1. Air Ticket (Return Ticket) 398.00 USD
2. Visa Tshs 120,000
3. Kwenda na kurudi JNI alau 60,000
4. Ghrama zote kule Lagos (Usafiri, Malazi na Kula kwa siku 5) alau Usd 200
Ninaweza kumuunganisha na Member wa SCOAN ambaye pia ni Tax driver aitwa Francis. Number yake ya whatsapp ni +2348037270038, ni mtu mwaminifu na muungwana sana.
Ahsante
Aende kwa TB joshua?? We ndio unampoteza kabisa mi nilidhani unamwambia amfate yesu
Na waliomwamini Mungu wakafa wao inakuaje kifo ni sayansi na wote tutakufa mnataka apoteze tena dola 3000 ebu kuweni na huruma au mnataka mumuue kabla ya muda
Soma kitabu "The power of subconscoius mind, wewe huna ugonjwa ila wewe ndiye unaamini hivyo. Ukiamini wewe ni mzima umepona wala huwezi kufa n ahiyo kansa itapotea. Hakun amchungaji hata mmoja au dkt anayeweza kukuponyesha bila ya wewe kuwa na imani ya kupona.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Hili naona halipingiki
Umeshatiwa moyo sana
Kwa Mara ya kwanza nitaitikiwa R.I.P yangu na mhusika
R.I.P. broo
Try this in 14 days utaona mabadiliko chanya.
Badili mfumo wa chakula. Inapaswa kula chakula DAWA. Kwa kutumia DAWA hii Yuki jamaa aliambiwa ataishi ndani miezi 3 lkn akaishi zaidi ya miaka 6.
Kula hivi tu kwasasa na kuendelea.
Asubui acha usitumie chai ya majani ya chai, na isiyo na sukari, acha vyakula/itafunwa vyote vyenye carbohydrate, muhogo, ngano, mchele, mahindi, viazi.
Tumia chai ya moja au viwili ya iungo hivi, mchaichai, chai ya ndimu, mdaasini, iliki, tau giligilani. Unaruhusiwa kutumia maziwa. Matunda ni Yale baridi tu ndio yanayoruhusiwa kwa sasa mungu, parachichi, Stafeli,
Mchana
Proteins maharage, mboga za majani, kunde, nyama, maziwa. Hii ni pamoja na bagia za kunde, dengu, au una kula nyama choma na mbiga ya majani, mayai
Achana na sukari, matunda makali, matunda ya sukari, soda ice cream
Shukrani mkuu na wewe pia ila hii ngoja niifungulie uzi maalumu wa kutakiana R.I.PRIP Mbere, upumzike kwa amani
Asante ndugu, Jana nimelia sana kwani nimemkosea nini Mungu Mimi.
Pole sana mkuu usikate tamaa ki hivyo mungu ndie anaejua hatma yakoRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)