Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Mkuu ikichukua mwaka haitaniuma ila week 3 itaniuma sana mkuu
 
Mimi mambo ya kuniambia nikupe laki 7 ujue ndio umetuma maombi ya kuachana. Bado sijawahi kuwa na nyege ya kufika bei hiyo, bye
Tafta hela mkuu watu wana honga crown na iphone za macho matatu
 
Sa hihi mkuu japo na mm ni mtumishi lkn ile kauli ya mama mkwe huenda ni watu wanapenda u fahari kweli hta hivyo mimi mwenyewe sio kinyonge na nyumban pia kupo bomba sana japo sio mboga saba
Nmekukubal sababu unamsimo ingawa sio rahis kumsahau ila utazoea
 
Ndo maana siku hizi unalala na wake za watu
 
Mkuu hata mama yake ni single mother hawa watoto wa ma single maza mama zao huwalisha sumu watoto kwa baba zao mpaka kwa waume zao
 
Tupo mwaka 2025 lakini bado kuna watu mnaamini kuna kupendana.!

Feelings change, people get bored, heart always chase fantasies and adventure.

Love is an illusion.
 
Single mother watoto wa kulelewa na single mother ni noma mkuu mama anavisha mtoto anaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…