Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
-
- #321
Kitambulisho kimepotea kwa maana kilikuwa ndani ya walletUshauri, usimpigie kura mgombea yeyote wa ccm, hawa ndio wamesababisha hadi unashindwa kupata hela ndogo kama laki 3
Pole sana mkuuKitambulisho kimepotea kwa maana kilikuwa ndani ya wallet
Asante mkuu
Pole sana mkuu ila mimi ni mtani wako , nimekutania tu . Naelewa kuna maisha baada ya kifo wazungu wanaita "after life" mkuu 😢🙏🏽Hii ni kejeli kubwa sana kwangu mkuu.
Pole sana Mungu akupe wepesiNimejiingiza katika deni kubwa sana mkuu
Asante mkuuPole sana Mungu akupe wepesi
Thanks...Pole sana mkuu ila mimi ni mtani wako , nimekutania tu .
Okay sawaNaelewa kuna maisha baada ya kifo wazungu wanaita "after life" mkuu 😢🙏🏽
Sawa mkuu...Sikia wewevcha kufanya ilipe kwanza hiyo laki 3
Hapana mkuumjanja mjanja kwenye mambo yako ?
Bado ninapambana ila nitafanikiwa kwa uwezo wake yeyeSikia wewevcha kufanya ilipe kwanza hiyo laki 3 then uendelee kukutafuta hiyo ulioipoteza utaipata tuu
Aliyeokota ni nani mkuu?...Namjua aliyeokota
Nitajie mkuunikutajie ulipopotezea?
Waliochanga ndio wanadai pesa yao mkuu...Kwani wanaozidai pesa ni kina nani?
Waliochanga ama mchangiwa?
Mhhh, sawa mkuuPonapona yako wewe jamaa ni ukifika uwambie uzikwe pamoja na marehemu ukiongea vinginevyo utarudi hapa kusimulia.
Watu wa humu wananicheka na kunikejeli sanaWatu humu mmepinda yani watu mna maneno mnaweza chekesha hadi kiziwi
Sawa mkuu. Bado ninapambanaFanya mpango uirejeshe...hakuna namna