Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Ningekua dar ningechukua hiyo kazi ya kuchimba shimo
Kazi anazozitaka mtu hazimsaidii kama hajazipata na wala kazi anazofanya mtu hazina umaana kama hazimpi mahitaji anayotaka
Sawa mkuu
 
...kopa, pigaUa, upate 250,000/- za Watu uwarejeshee Comrade ili kuondoa hadithi...halafu mshukuru Mungu kwa Yote!
Kuna uwezekano kwamba aliyeziokota mama yake anaumwa vibaya na hakuwa na hela ya kumpatia matibabu...
Sawa...
 
basi Mungu Mkubwa akaona kuwa kwa sababu ameishamalizana na roho ya ndugu yenu na zilizobaki ni mbwembwe tu za kuzika mwili akaona amsaidie huyu ambaye anapambania Uhai!
Shukuru Mungu tu Mkuu kwa Yote
Amen
 
Yuko bwana mmoja humu Hapo zamani alijulikana sana kwa kula rambirambi za watu; sijui kapotelea wapi kwani alikuwa zamani anaishi U.K. !!!!

Hautaeleweka jitahidi ukope urudishe hela ya watu!!!
Sawa mkuu
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…