Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Kama umezipata tayari mmeshaoana acha ajue tuu la sivyo utaishi maisha ya hovyo na kuviziana, ndoa ni for life mengine yote kama divorce, kutengana au kifo ni matokeo tuu you can’t control,au uliingia ukiwa na plan ya kutokaNimeshaandika hapo juu, WA ndoa, songea tukae hawana shida hata akijua anajua sio zake na hata tukiachana Hana chake
Ushauri sio mbaya sana ngoja tuoneKama umezipata tayari mmeshaoana acha ajue tuu la sivyo utaishi maisha ya hovyo na kuviziana, ndoa ni for life mengine yote kama divorce, kutengana au kifo ni matokeo tuu you can’t control,au uliingia ukiwa na plan ya kutoka
Mtego mkubwa snaaaNikiwaza yale ya mchezaji wa Simbabwe Ndoro aliyofanÿiwa na mke yakampelekea dipression hadi kufia ndan hadi kukaa siku nne...naona ni sahihi tu hawa viumbe tuwafiche tu baadhi ya vitu...hii kuishi kwa kusema ni mwili mmoja ni mtego tu
Siku ukipigwa za uso ndio utajua Mimi ni mtoto au mzeeKUNA WANAWAKE WANA HURUMA SANA...KUISHI NA WATOTO WENYE AKILI CHANGA NAMNA HII...
NA KUNA WATOTO WAMEBAHATIKA KUGUSA HELA WAKIWA BADO VICHANGA...
MFANO NI KAMA HAKA KATOTO...KAKIKUA KATAACHA UTOTO.
Sijasema mpunga mrefuHongera kuwa na mpunga mrefu kwenye account
Muda wowote app inawezakuwa down,ila kama ni muhimu sana kujua salio linalobaki utakapotoa hela,unawezatumia ATM pia.risiti huwa tunatoa ili tupeleke kwa wazee waliotutuma kutoa hela tu.🤣🤣🤣 Kwahyo hamna mda app network inakua down, JF Raha san
Mimi sasa kuna mahesabu ilikua naenda kuyafanya ikabidi nitoke na risitiMuda wowote app inawezakuwa down,ila kama ni muhimu sana kujua salio linalobaki utakapotoa hela,unawezatumia ATM pia.risiti huwa tunatoa ili tupeleke kwa wazee waliotutuma kutoa hela tu.
Usinikumbushe jamaa mmoja alojenga nyumba kwa siri mkewe na watoto hawajui anaejua ni rsfikinyake jamaa akafariki familia inaangaika pa kukaa wakarusi kijijini yuke rafiki akagundua nyumba haijulikani akaitaifisha kuwa yake achemi ujinga huu wa kumficha mkeo mali zako.Sir God akikupenda zaidi ghafla hivyo viwanja na mashamba havitamilikiwa na watu baki?
Hao ndugu zako ni hiyo familia yako?? Huo ni upimbi au unaishi na mchepuko tu, kama ni mkeo na watoto huo ni upimbiUnajuaje kama kuna ndugu wanajua
MkobaSawa nimekosea, niambie sasa wewe unayejua ilitakiwa niseme Nina nini??
😄😄 Mwanaume ana niniMwanaume una pochi🙄
Ndo hiyo ya blue unayo?
Nimekuonyesha hapo wewe ambae kichwan ni 0 ujue kipi ni kipi, uangalie namimi nilisema nini, hiyo ni wewe uangalie tuu ujifunze hamna haja ya kujibu, siku njemaNdo hiyo ya blue unayo?