Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Kwahiyo ww hujasoma hata primary ulishindwa kujitetea kuwa hiyo pesa ni ya workmate wako inahitajika kununulia furniture za officeJuzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Sawa mkuuJitahidi wengine wajue, Amini Kuna watu wamekufa ghafla na zile Mali za siri zimeishia kwenye Makato ya benki. Madeni wanayodai watu wamechuna na familia imebaki inateseka
Nshalimalza japo maulzo ni mengiWa
Kwahiyo ww hujasoma hata primary ulishindwa kujitetea kuwa hiyo pesa ni ya workmate wako inahitajika kununulia furniture za office
Hivi shida ni nini hapo?Wameoana na wanapendana sana. Hahaha
βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈSawa mkuu
Haina haja ya kuishi na mtu usiye muamini kuna makubwa zaidi ya pesaMaisha ya Leo hamna haja ya kuamini mtu
Aliona salio la milioni ngapi?Haina shida
Mwenyewe mwanzo nilichanganywa ongeza kutafuna risitiππ baadae nikaona neno mke wangu nikasema sawa!Uliweka risiti kwenye pochi alafu unasema mke wangu?? π π
Kadhaa sio nying sanaAliona salio la milioni ngapi?
Ndio naulizi mlitaka niandike nmeiweka kwenye nini?Mwenyewe mwanzo nilichanganywa ongeza kutafuna risitiππ baadae nikaona neno mke wangu nikasema sawa!
π€£π€£Duh pole sana, zahma hiyo mkuu ni sawa na story ya mzee Tola anaye eat gizaniπ€£π€£π€£
ππ Mimi hua siangalii salio kwa hivyo vikaratasi vya Atm bali hua nacheki kupitia app ya nmb simubanking au crdb, lengo ni sitaki kijulikane chochoteJuzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Kuna mda app inakua na shida ya mtandaoππ Mimi hua siangalii salio kwa hivyo vikaratasi vya Atm bali hua nacheki kupitia app ya nmb simubanking au crdb, lengo ni sitaki kijulikane chochote
Tabia ya uchoyo umejifunzia wapi ?Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Huyo ni hawara huwezi kunficha mkeo mali ulizonazo wakati unawatoto na Mungu muda ukifika anatutanguliza wanaume kutupenda zaidi .Hayo mali atatumia nani nawe unawatoto?Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)