Sumbi Sanchez
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 100
- 355
Hofu yao kubwa anaamini kama mzazi mwenzie alimuacha na vipi wewe ukija ukamuacha nahuku kashabadili majina ya watoto wake?. Huwa wanawaza Hilo, ila kuoa single mother nimtihani mkubwa aisee.Ukitaka kujua kama single maza bado ana hisia na baby dad wake we mpe sharti Moja tu kuwa ukimuoa ubini wa mtoto u abadilika kuwa wako; reaction yake itakupa majibu.
Kuna pisi Moja niliwahi kuielewa ndio hivyo ikawa 2:0 nilivyomuambia suala la ubini wa watoto wake kubadirika alikuwa mkali kishenzi na hiyo ndio siku mahusiano yalikoma[emoji23][emoji23]
Ishu inakuja pale umeshamuelewa ndio tatizo. Ukiona singo Maza anasifia sana watoto wake Kwa vimaneno maneno wewe jua hapo umeumia.Hofu yao kubwa anaamini kama mzazi mwenzie alimuacha na vipi wewe ukija ukamuacha nahuku kashabadili majina ya watoto wake?. Huwa wanawaza Hilo, ila kuoa single mother nimtihani mkubwa aisee.
Sasa ubadilishe ubin kwani wanao??? 😀 😀 😀Ukitaka kujua kama single maza bado ana hisia na baby dad wake we mpe sharti Moja tu kuwa ukimuoa ubini wa mtoto u abadilika kuwa wako; reaction yake itakupa majibu.
Kuna pisi Moja niliwahi kuielewa ndio hivyo ikawa 2:0 nilivyomuambia suala la ubini wa watoto wake kubadirika alikuwa mkali kishenzi na hiyo ndio siku mahusiano yalikoma[emoji23][emoji23]
Huo ndio ukweli. Mimi nadhani nitakuwa wa kwanza maana kila ninapogusa fibroids zimeshapaharibu. Ifike wakati tuwape maua Yao single mothers.Kabisaaa, yaan siku hizi wanandoa kibao Wana struggle kupata mtoto, it's a matter of time....wataanza kuwakimbilia.
Mkuu Mimi ni mkurya ni desturi yetu tukioa singo Maza tunamuliki na vitoto vyote.Sasa ubadilishe ubin kwani wanao??? 😀 😀 😀
ooho hapo majangaa..tafuta tu ambae hanaaMkuu Mimi ni mkurya ni desturi yetu tukioa singo Maza tunamuliki na vitoto vyote.
Mkuu una miaka ngap?Habari za Usiku wana JF,
Kuna mdada nimempenda Sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina. Mtoto ana miaka 6. Naomba ushauri tafadhali!
Dah!!! Hivi,kati ya single mother, na yule ambaye hana mtoto,lakini kajichubua, mikucha na kope anabandika, yupi bora🤣🤣🤣🤣🤣Hofu yao kubwa anaamini kama mzazi mwenzie alimuacha na vipi wewe ukija ukamuacha nahuku kashabadili majina ya watoto wake?. Huwa wanawaza Hilo, ila kuoa single mother nimtihani mkubwa aisee.
Tulia mkuu, single mother kaifinyia kwa ndani kijana anataka kuoaTanzania kuna vijana wapumbafu sana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]kafinyiwa kwa ndani sioTulia mkuu, single mother kaifinyia kwa ndani kijana anataka kuoa
Kama ni wa kike inabidi ampende hadi mama ake aridhike la sivyo hakawii kusingiziwa nambaka mtoto wakeKama ana mtoto wa kike wewe Oa tu hawanaga matatizo. Mtoto wa kike ubini hubadilika baadae akiolewa kuwa wa mume wake. Kama mtoto wa kiume ogopa vinakujaga kuvimba hivyo baadae. Watoto wa kiume huwa hawapendi Baba wa kambo. Baadae itakuwa ngumu kuku heshimu[emoji848]
Mkuu ukimzalisha watoto Watano mama yake lazima atakueshimu tuKama ana mtoto wa kike wewe Oa tu hawanaga matatizo. Mtoto wa kike ubini hubadilika baadae akiolewa kuwa wa mume wake. Kama mtoto wa kiume ogopa vinakujaga kuvimba hivyo baadae. Watoto wa kiume huwa hawapendi Baba wa kambo. Baadae itakuwa ngumu kuku heshimu[emoji848]
Najua mtoa mada anatamani kupata ushauri kama huu ili apate moyo amuoe. Ila hapa watu hutoa uhalisia wa mambo na sio senerio za imagination kama hizi. Tunawajua single mother wengi sana kitaa na tabia zao. Hivyo sisi tunampa senerio za uhalisia maamuzi ni yakeJamani Sasa huyo mtoto ndoanakuzuia kumuona au huyo mtoto anajuwa kikwazo kwa mapenzi yenu!!??
Acha hizo bro kuwa na mtoto sio dhambi hata wewe unaweza kuwa na mtoto Leo ukaowa alafu ukafa na wew kwaiyo mwanao mwanaume mwenzako amnyanyapae! Uowe pis Kali hiyo
Lakin mbona Waislam wao wanaoa tu mwanamke mwenye mtoto bila kujali chochote, Wanzanzibar wao Wanao tu hawa Angalii mwanamke kazalishwa au haja zalishwa,Mimi nilishangaa kijana wakiume wa miaka 26 anaoa mwanamke mwenye watoto watatu kweli tembea uone maajabu ya Dunia.Jamani Sasa huyo mtoto ndoanakuzuia kumuona au huyo mtoto anajuwa kikwazo kwa mapenzi yenu!!??
Acha hizo bro kuwa na mtoto sio dhambi hata wewe unaweza kuwa na mtoto Leo ukaowa alafu ukafa na wew kwaiyo mwanao mwanaume mwenzako amnyanyapae! Uowe pis Kali hiyo