Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Pakijinja…usiwe unaandika ama andika kinyakyusa tu! Umeandika madudu gani sasa? #Ulusi #habali #Ilan # Uhalibifu.

Wewe kweli Mafufu.
 
Hilo ni tamanio lako ....but ucdhani Iran imeanza kuandamwa jana au juzi na hao washenzi wa dunia
 
Hilo ni tamanio lako ....but ucdhani Iran imeanza kuandamwa jana au juzi na hao washenzi wa dunia
 
Na yeye akome kutumia wanajeshi wake kujifanya ni Hamas . Kashapoteza majeneralinqengi Sana. Sasa amechokoza wakubwa walikuwa wanamyafutia timing Sasa kaingia kwenye mfumo. Urusi anayemtegemea na yeye ana limfupa la Ukraine linamtafuna. Soon Iran itakuwa kamaniraq ,Kuwait na Afghanistan.
 
Hakuna kituo cha kijeshi kilichoharibiwa esieneze uwongo na unafiki hata aljazeera
 
Yale mashambulizi netanyahuu alikosea kuyakinga yote angeacha kombora moja la iran liangukie Alaqsa tuone wafia dini wataikasirikia iran
 
Yale mashambulizi netanyahuu alikosea kuyakinga yote angeacha kombora moja la iran liangukie Alaqsa tuone wafia dini wataikasirikia iran
Ulitegemea kamanda wa iran angesema shambulizi lao limefeli kweli wafia dini akili hamnaga sijui ni hizi elimu za madrasa mnafundishwa chuki
 
Makombora yanachukua masaa 9 kufika Israel, hayo masaa 9 Israel imesimama tu? Kweli Iran ni wapuuzi.
Na sijui kwanini alitangaza, si angewasurprise tu. Unampa mtu taarifa kuwa umetuma mashambulizi kwake na unampa masaa ya kutosha hivyo!!!, hawako sawa Iran, labda kama wanamaanisha kitu kingine ila sio nia ya kushambulia/kulipa kisasi.
 
Ila hii kichwa imejaa Maji😂😂
 
Makobasi mnajifariji.
 
Ndiyo walirusha mafataki kuwakata wenge Israel wakatoka jasho na ndugu yake USA
 
Yani nikishaona mtu anaandika "habali" badala ya "habari" naona ni jinga limoja lililokimbia shule. Alafu hua majuaji wakati kichwani bashite.

Mkuu vipi kwanza ukiridi shule ya msingi ukajifunze kutofautisha "r" na "L" ?!
sio "Ulusi" ni "Ururi"
Sio "vizuli" ni "vizuri"
sio "habali" ni "habari"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…