Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Bei za vitu ni kodi + gharama za uzalishaji + usafirishaji.

Lita 1 ya mafuta, karibu nusu ya bei kwa Tanzania ni makodi na matozo mbalimbali
TZ ina gharama ndogo za maisha kuliko karibu 90 ya nchi zote za Afrika.

Chakula

Petrol

Diesel

Maji ya chupa.

Umeme

===

Sehemu pekee ambayo kuna usenge mwingi ni ardhi na kodi za nyumba, halafu hawalipi kodi.
 
Umeeleza vizuri sana. Lakini si mara zote inakuwa hivyo. Mfano ukitoka tz ukaenda zimbabwe kwa sababu dola ya zimbabwe iko chini utapata pesa nyingi. Lakini bado maisha hayatakuwa marahisi kwa sababu bado gharama na vitu ni bei ghali hivyo bado fedha itatumika sana.
Ila concept yako iko safi na inaeleweka. And mind you urahisi wa maisha pia unaambatana na miundo mbinu. Anakwambia usafiri ni so cheap kwa sababu wana miundo mbinu ndo urahisi wa maisha.
Ila asante nimeongeza kitu kutoka kwa maelezo yako
 
Hapo kuna mambo ya inflation yanahusika.

Sarafu ya Zimbabwe imekufa.

Lakini pia nchi zetu za kisoshaliti zina mfumo mzuri ,unaosaidia.

Nenda hapo Kenya, kila Daladala lina bei yake, hakuna LATRA.
 
Kama unazisikiliza CNN,BBC, DW unaweza sema Iran no nchi ya hovyo ila ukitizama media kama za Wahindi, Urusi na China unagundua wanazusha mengi mabaya kuhusu Iran ambayo sio kweli.
 
Tatizo huko Iran hakuna maisha ya kula bata zaidi ya kusubiria bikra 72... Mimi Tz sihami maana nakula msoto na bata kama kawa
Hamuwafiki miaka 1000
Huko wana kila kitu

Ova
 
Kama unazisikiliza CNN,BBC, DW unaweza sema Iran no nchi ya hovyo ila ukitizama media kama za Wahindi, Urusi na China unagundua wanazusha mengi mabaya kuhusu Iran ambayo sio kweli.
Mimi mwenyewe nilibahatika kufika Tehran wenyewe mabaharia wanapaita teheruza
Tz bado sana sanaaa

Ova
 
Wako vizur sana sema unaweza kunyongwa hata kwa kosa kupiga punyeto kwa bahat mbaya
 
Wako vizur sana sema unaweza kunyongwa hata kwa kosa kupiga punyeto kwa bahat mbaya
Iran sehemu zote za starehe ziko undeground kuna madisko,malaya,pombe nk
Wale hata wakijenga nyumba za kuishi wanaanzia kujenga chini(undeground)mfano tehran pale unaweza kuta mwaka mzima kuna baridi

Ova
 
Mimi mwenyewe nilibahatika kufika Tehran wenyewe mabaharia wanapaita teheruza
Tz bado sana sanaaa

Ova
Hebu mkuu tupe taarifa kidogo... Mwaka 2012 alikuja jamaa mkameruni akitokea kenya... Sasa alikuwa akiwa kule aliomba visa ya kwenda Iran kabla ya kutoka akaja TZ. Sasa akiwa hapa hajui kiingereza akaniomba nipige simu ubarozini niwambie watume visa yake tz yuko tz. Nikawapigia alinipa simu yake nikaongea naye na wakakubali simple tu. Alipoipara alienda akakaa week akarudi wenzake wanasema na dollar 70k.
Nikahisi alienda piga mishe haramu maana ndo zao.
 
Kuna wanasiasa wengi nchi hii why lissu?
 
K
Kwanini usifanye vice versa? Unakuwa na property zako bongo zinazokuingizia milioni kumi unaenda kuishi zako iran kwenye maisha nafuu huku kiasi kinachobaki unasevu kwa ajili ya kufanya uwekezaji zaudi ndani ya bongo
 
Huyo alienda kubeba kazi tu

Ova
 
Hapa ndio wasomi mnapokoseaga unatumia vipimo vya wazungu kupima ubora wa maisha ya waajemi ilhali kuna tofauti kubwa sana kuanzia kisera hadi kitamaduni .kiuhalisia iran wanaishi maisha bora zaid sababu ya tamaduni zao za kuhakikisha kila mwanafamilia anapata anachohitaji hata kama hana uwezo nacho yaan wanaishi kwa kupigana tough sana
 
Viza za huko zilikuwa zinatoka kutoka kwa taasisi za kislam huku
Nahs kuna watu walikuwa na michongo wakati huo

Ila mm nlifika Bandar abas,tehran,nlienda shiraz mpk boda karibia na Pakistan
Sasa shiraz pale kuna wa Iran wale weusi kabisa hapo kuna sehemu panaitwa zenjibai au zanzibar inasemekana wamatumbi walitolewa huko wakapelekwa huko,sasa hao ndy washiraz
Huko kulikuwa na wabongo wengi kama tehran watoto wa kko,kino,migomigo wote hao walikuwa watu wa mitkasi tu

Ova
 
Wako smart sana wale

Ova
 
Gwanseri ya wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…