Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Mind you I don't hate women, it's just logic. Nimemaliza madam😂😂😂Ooh ukimaliza nambie🤨
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mind you I don't hate women, it's just logic. Nimemaliza madam😂😂😂Ooh ukimaliza nambie🤨
Toka jana
Ww je?Wewe ni victim?
Weka na kituo.Mind you I don't hate women, it's just logic. Nimemaliza madam😂😂😂
Mbele ya emoji, 😂😂😂 hiyo itakuwa matumizi mabaya ya kiswahili. Ila sitasahau siku nyingine madamWeka na kituo.
Una maneno mengi sana ndo tatizo.Mbele ya emoji, 😂😂😂 hiyo itakuwa matumizi mabaya ya kiswahili. Ila sitasahau siku nyingine madam
So humuamini mzazi ama kisa elimu ya kikoloni unajiona mzazi wako hamnazo.yaani tungekuwa tunasikiliza wazazi wakati wa kuoa nadhani tusingekuwa tunasumbuka.Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
Nitajirekebisha madam, ila that's life😂😂😂.Una maneno mengi sana ndo tatizo.
Mbona kwa hasira hivyo?Yani humu watoto wa kiume wengi kuliko wanaume kazi kweli kweli.
Em nitolee kisebengo hapa, mwanaume una maneno mengi kama barua ya posa.Nitajirekebisha madam, ila that's life😂😂😂.
Si hasira naona tu venye watu wanaongea ni kama hawakufunzwa na baba zao uanaume ni nn.
Shukrani, ila sijui maana ya neno kisebengo sasa😂😂Em nitolee kisebengo hapa, mwanaume una maneno mengi kama barua ya posa.
Kamuulize mjomba ako.Shukrani, ila sijui maana ya neno kisebengo sasa😂😂
Sawa madam, ila kuwa na amani ni social media tu😂😂Kamuulize mjomba ako.
Wasiwasi wako maradhi yako.Sawa madam, ila kuwa na amani ni social media tu😂😂