Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

Ukitazama Ile event simchezo midege inaelea angani kama kunguru midege kibao

Nikawa Nina jisemea kimoyo moyo kwahayq anayo yqfanya china na sisi tunayo yqfanya katika siku ya uhuru hakika tunayo yqfanya inatosha kuwa comedy Huko Duniani 🤣🤣
 
Youtube wale wanatengeneza content za kusafiri toka ulaya wanasema wazi kuwa china ina moundombinu, usafi kuliko kwao. Kuna mmoja toka Uingereza akasema amegundua kuwa nchi yake kwa sasa ni 3rd world country baada ya kufika china
Aione Yoda hii
 
😀😀😀
 
😀😀😀🤣🤣 Goes out to you Yoda
 
Sisi tuendelee kuibiana mali,kura na kubambikiana kesi, ndipo akili yetu ilipoishia
 
Mwaka huu wamefanya Trump aliamulu yafanyike
Weka hiyo clip Jeshi la Marekani haliwezi fanya Military parade kwa amri ya raisi hadi bunge la congress liithinishe hiyo itakuwa sio mikitary parade itakuwa ya jeshi la mgambo

Trump hana mamlaka yeyote ya kuamuru jeshi chochote iwe mikitary parade au kutaka Jeshi liingie vitani bila kibali cha bunge la Marekani yaani Congress

Ubavu huo hana

Onyesha na kibali cha Congress kilichoruhusu Military parade jeshi la Marekani lifanye
 
Dogo kwahiyo sisi tunavyovyunja matofali na kichwa we unadharau?
Mkuu tofali mbele ya kombora zito tuache utani mkuu tuimarishe angalau hata hapa hapa Afrika asiwepo wa kutukoromea
 
Hatari hawa jamaa mkuu nitafuatilia hizo projects nione
 
Mbona tangu 2022 nasema China inaizidi Urusi mbali kijeshi. Huo msimamo ninao kwa muda tu hasa nikitizama military industrial complex ya China.
Ki vipi mkuu Russia sio poa ni jitu fulani hivi la kutisha
 
Kwanza ni makosa kujilinganisha na china, kwa sasa. Wako wayy above kitu ambacho kitaichukua tz miaka mingi
Kwa hiyo mkuu tujilinganishe na hawa wakina Burundi na msumbiji ama ?
 
Aloooh kwa hiyo tuwe tu watulivu tuendelee kula ugali maharage😀
 
Bado miezi 3 tu tukashuhudie la kwetu la Kuvunja Matofali na kushuka kwa miavuli,9 dec.2025!
Kila mwaka linafanyika kutishia vyama Upinzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…