Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Eti Makonda ana nini lakini?.

Unachojiuliza hata Samia anajiuliza hicho hicho.

Subiri uone miundo mbinu unavyofumuka Arusha. Arusha sasa kuipiku Dat kwa Umaarufu.
 
Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini nyie upande wa pili???

Kwamba hao watu wamelazimishwa??

Wewe unaweza kulazimishwa kufana jambo usilopenda?.

Acha ujinga mtoa post kuwa na akili japo kidogo basi pia punguza wivu wa kike au achana nao kabisa.
Ungekuwa umewahi kuwa hata "typist" halmashauri, wilayani au mkoani, usingeandika hayo uliyoyaandika.
 
Acha uchawi wa hadharani wewe goroka,kila mmoja ana mbinu zake za kimedani,
Angeingia kimyakimya pia mngesema tu,hovyooooo!!!![emoji41]
 
Eti Makonda ana nini lakini?.

Unachojiuliza hata Samia anajiuliza hicho hicho.

Subiri uone miundo mbinu unavyofumuka Arusha. Arusha sasa kuipiku Dat kwa Umaarufu.
Hiyo jamaa anaenda kuharibu maisha ya huko Arusha. Jamaa ni mchawi sana, sijui kwanini mama anashindwa kuona kwamba Bashite anamwaribia
 
Pengine ana Siri nzito anatembea nayo !!
Au pengine just inferiority complex inamsumbua !
Au pengine ana ndoto ya kuwa siku moja atakuwa mkuu wa kaya kwahiyo anaifanyia majaribio hiyo nafasi !
Au pengine huyo ndio mali πŸ‡²πŸ‡± yamungu wa zama hizi πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=G_AxRZjTDgc
Ata mimi sijaelewa viongozi wa usalama wa mkoa kujazana airport kwa sababu ya Makonda.

IΕ‚a sidhani kama yeye mwenyewe alitarajia mapokezi hayo au makamera kama yote kuwepo.

Ata kwenye ndege yeye sio abiria wa kwanza kushuka nadhani Arusha tu wenyewe ndio walioanda hayo mapokezi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Makonda Ali kuwa mkono wa kuume wa, Maghu katika kufanya political assassination, intimidation, elimination, mtu aliyeshiriki kupanga na kutekeleza mpango wa mauaji ya kiongozi wa upinzani,
Intelligence, and law enforcement community, wanalijua hili, na wanakuwa na woga jinsi ya just deal na makonda,
Na ukitegemea majitu mengi ndani ya chama na serikalini,ni machawa, hayapo pale by merit(ujuzi nk), yapo kupitia, uchawa, na kujipemdekeza, sasa, akitokea chawa mkubwa wa Rais, lazima, watamuogopa!
Hata ningekuwa mimi ndio makonda, ningeyakimbiza machawa yote yaliyopo chini yangu, kuanzia wakuu wa wilaya, kata, mpakq RPC, kwa, polisi ningehakikisha na mimi napata mgao wa zile pesa wanazokusanya kwenye faini za madereva!
Mdogo wangu makonda, hao chawa wenzio wa ccm kimbiza, kimbiza, washike makalio, shika matiti ya wake zao, wataishia kulia Lia kimya kimya, hakuna, wakuondoka, na, watakusifu zaidi.
 
Watu wanamuona JPM ndani ya Makonda !!πŸ˜…πŸ˜…. πŸ™
 
Duh πŸ™„ !!
 
Aliagiza watu waende kumpokea? Muache kijana achape kazi, angalau tuendelee kumkumbuka JPM.
Iko vile bandugu !
Tuliwaambiaga kila mtu akitaka apate sapoti kubwa ya wanyonge wa Nchi hii ambao ndio wengi afuate staili ya Magufuli katika kutatua kero za watu !
 
Wewe pia usingeacha shughuli zako kuja kumfungulia uzi kifupi makonda ni maji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…