JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Utazania yeye ndio huwafata watu nyumbani.Makonda anakarisma ya kupendwa.
Nilipita jana karibu na jengo la CCM nikakuta vikundi vya vijana wa CCM na wakina mama nikauliza kuna nini wakasema wanamsubiri Mwenezi mpya wa CCM. Nikauliza Kwa makada flani wakaniambia alipokuja Makonda kulikuwa na mafuriko ya watu walijaa hadi Gandhi Hall na wengine karibu na kituo cha polisi.
Wakasema mpya hana influence.
Tumuache tu huyu jamaa amalize zamu yake kwa namna yake na yeye.
Yaani wivu wa kiwango cha rami