Utazania yeye ndio huwafata watu nyumbani.Makonda anakarisma ya kupendwa.
Nilipita jana karibu na jengo la CCM nikakuta vikundi vya vijana wa CCM na wakina mama nikauliza kuna nini wakasema wanamsubiri Mwenezi mpya wa CCM. Nikauliza Kwa makada flani wakaniambia alipokuja Makonda kulikuwa na mafuriko ya watu walijaa hadi Gandhi Hall na wengine karibu na kituo cha polisi.
Wakasema mpya hana influence.
Tumuache tu huyu jamaa amalize zamu yake kwa namna yake na yeye.
Hadi mchana huu kamuharibia wapi? Una laumu tu.Hiyo jamaa anaenda kuharibu maisha ya huko Arusha. Jamaa ni mchawi sana, sijui kwanini mama anashindwa kuona kwamba Bashite anamwaribia
Huo ni utaratibu wa kawaida. Hivi nyie majizi huwa mnalewa Kitimoto na pombe gani vile?Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Hamna cha wivu wala nini ukweli ni kwamba vitu vinavyofanywa na huyu kijana ni vya hovyo na kishambaaa.Wivu wa kike ...Una uhakika watu wamelazimishwa ama ndo wivu wa kike tu
For sureAina ya uongozi wa kiafrika ni ujinga mtupu
Jamaaa nyota imewaka ngoja tusubiri hadi mwisho tuoneMbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Naunga mkono hoja ,what is special for him?Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Mbwembwe za nini hasa Hadi apokelewe?Kwa maelezo yako, kosa la Makonda ni lipi hapo?
MAKONDA ni KIHIYO MSHAMBA wa MADARAKAMbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Mshamba mwenyewe.peleka ujinga na roho mbaya yako hukoSifa na ushamba vinammaliza Makonda.
Hahaha Da!Anachofanya huyu jamaa ni utoto wa hali ya juu, leo asubuhi nilikuwa nina kikao na Lema,kufika kwake naambiwa na yeye kaenda kumpokea Makonda.
Mshamba Mwenyewe usiyejulikana kwokwote kule.Makonda ni mshamba yule si Msukuma ndivyo walivyo
Utakufa nawivu na chuki zako binafsi.Mwamba Makonda ni mchapa kazi aliye tukuka na kipenzi cha watanzaniaHiyo jamaa anaenda kuharibu maisha ya huko Arusha. Jamaa ni mchawi sana, sijui kwanini mama anashindwa kuona kwamba Bashite anamwaribia
Wew una wivu sana. Naona unapambana na charisma. Unapata taabu sana.Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa ofisi huwa inakuwa kimya kimya kwani yeye ana nini? Yaani Makonda anaenda kupokelewa kia kwa misafara ya magari msururu.
Wakuu wa idara, wakuu wa wilaya leo hawapo ofisini wameendq kumpokea Makonda! Kwakweli Leo ningekuwa rais Samia ningemrudisha Dar akiwa kia, kazi zinasimamq kwa ajili eti anakabidhiwa ofisi Kuna maajabu gani kwenye kukabidhiwa ofisi? Makonda unanini lakini? Kwani ungeenda kama wanavyoenda wakuu wa mikoa wenzako ungekufa? Punguza cheche utachoma nyumba.
Wivu wa kike ...Una uhakika watu wamelazimishwa ama ndo wivu wa kike tu