Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Ni sahihi.
Kuna siku alijisahau alikwenda Kwa huyo jamaa anaitwa Mr nyangumi..
Jina nimeweka code kidogo.

Akaonyesha jinsi jamaa alivyoziweka gari za thamani kama 10 hivi kwenye room tena fully ac..

Jamaa akaanza kumsifia Mr nyangumi kwamba ana pesa kuliko yeye na huwa anafanya maokoto kwake na amemuunganisha na watu kadhaa.
Ajabu gari zile zile zilizokuwa Kwa mr nyangumi Leo naona anatumia yeye kufanya show off..

Ukwl ni kwamba anawashawishi watu wajiunge na chama Cha freemason Kwa gharama ya 100,000.
Ile gharama za kujiunga ndy na yeye zinamuinuwa kufanya showoff.
 
Uko sahihi,hata mimi niliwaza hivyo kuna watu wako nyuma yake na mmojawapo ndio huyo uliyemtaja nishamfahamu
 
Ni nani yule aliekua anafumuliwa Wigi?
 
Ninachojua, Hela ya kafara Moja ya masharti yake ni kwamba uwe unaigawa Kama msaada kwa watu. Jinsi unavyoigawa ndivyo inavyokuwa nyingi.

Sasa Kijana jichanganye:
1. Uwe tayari kuuza roho yako, unahesabiwa miaka yaaani after few years wanakuvuna.
2. Uwe tayari kuishi na viumbe waajabu ndani ya nyumba ambayo hamna mtu anaruhusiwa kuingia except wewe maana either unalala nayo au unapeleka kafara.

Biblia neno la Mungu inasema hivi; japo twaonekana kuwa ni wajinga lakini hatutapotea katika njia Ile;

Nawaombea vijana wenzangu tumshike Yesu, tumpende Yesu, tumtumikie Yesu kwa uaminifu maana njia zetu zikimpendeza atatupatia utajiri usiokuwa na majuto.

Anasema: Nawapemda wale wanipe ndao, nao wanitaftao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam utajiri udumuo na haki pia.
Kataa shortcut, ili mradi unakula haulali njaa, mwamini Mungu atakukumbuka tu katika ahadi zake.
 
Hii nchi imejaa wajinga na wapumbavu wengi sana. Hivi mleta mada huoni kabisa huyo jamaa anafanya usanii ili kutakatisha pesa za watu na hapo hapo kutapeli?

Mtu anakwambia amenunua gari ya zaidi ya bilioni moja, ukimuuliza hebu onyesha risiti za TRA zenye kuonyesha ushuru aliolipa wakati akiingiza hiyo gari, hawezi, hana na milele hatafanya hivyo.

NOTE
Mtu yoyote akikwambia ana pesa nyingi, anaingiza pesa nyingi au anatumia pesa nyingi, kabla ya kumwamini kwa chochote kile wewe mwambie akuonyeshe kwanza kodi aliyolipa serikalini inayoendana na hizo pesa.
 
Sio kweli, Misaada inayotolewa na Watu wengi ikimemo huyu kijana na ile GSM ni kwa ajili ya kufanya money laundering
 
Huyo yupo kimkakati
Lengo alikuwa anahitaji apate watu wa kuwaingiza katika kulipia jicho la tatu na amefanikiwa
 
Matajiri wa bongo kwa kupandisha bei za vitu, mie uwa nacheka tu, hata huyo Diamond pia uwa anapandisha bei za vitu balaa. Magari mengi ya bongo uwa ni used na mengi ni ya miaka 2018 kurudi nyuma huko, ila ukute bei zake wanavyoziweka sasa ni balaa. Matajiri wachache sana bongo wanaweza kununua gari brand new toka kwa dealer. Tajiri wa bongo uwezi fananisha na tajiri wa kinaijeria kwa Afrika maana wanaijeria upstairs wako vizuri na wanasafiri sana, sasa hebu hako ka tajiri sijui Godlove hata kameshasafiri mpaka wapi na kwanza kanaonekana zero sana kichwani seti tupu utajiri wenyewe eti magari. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…