Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Hili hata mi nilishawaza hivi.
 
Halafu anapenda kupost akiwaita watu wasio na kitu Wapumbavu. Ana kiburi Cha kufuru huyu jamaa.

Hawa ni wale wa Agano la kuzikwa kichwa chini miguu juu siku ya kufa kwao. Nafsi Iko mikononi mwa mamlaka tayari
Hakuna kitu kama hiko. Ni tapeli tu anatafuta vijana wenye tamaa. Hana influence yoyote atakapopewa pesa nyingi na kuzikwa namna hiyo.

Maskini tu.
 
Jiunge kwenye group lake la wasap kiingilio laki moja akufundishe anapataje pesa
 
inanikumbusha habari ya Onouha brothers jinsi walivyokuwa wanapost utajiri wao na mwisho wa siku wamekamatwa huko dubai kwa kujihusisha na biashara za madawa ya kulevya
Ajabu madogo walikuwa motivation speaker kufundisha watu jinsi ya kuwekeza.
 
We umekutwa na nini huyo dogo Hana utajiri wowote hayo ni mambo ya mtandao tu ndugu nawafaham ndugu zake wazazi hawana maisha mazuri dogo anategemea kiki za mtandao ili kula kwahiyo usiwaze sana
 
We umekutwa na nini huyo dogo Hana utajiri wowote hayo ni mambo ya mtandao tu ndugu nawafaham ndugu zake wazazi hawana maisha mazuri dogo anategemea kiki za mtandao ili kula kwahiyo usiwaze sana
Tafuta hela
 
Tanzania hatuna Sheria Kali za financial crimes Ndio maana Jamaa anatamba... Pia sura yake haionekani kama ya mtu mwenye pesa
Kuna watu mabumunda hata hawajui kumsoma mtu mwenye pesa,mtu mwenye pesa ukimuangalia appearance inajieleza hata bila ya kujitangaza uso unakuwa na nuru,mtu awe na pesa halafu mwili wake awe amekakamaa vile,ni kichekesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…