Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Sawasawa
.
 
Kweli mgogoro huo ni complex sana , Waziri Mkuu wa Israel aliyeuwawa ni Yitzahk Rabin ambaye alikubali kusaini makubaliano na Yasser Arafat yaliyosimamiwa na Rais Clinton wa Marekani !!
Rabin alisema anataka kuionyesha Dunia kwamba Waisraeli na Wapalestina ni watoto wa Abraham !

Wahafidhina ndani ya Israel walichukizwa sana na kauli ile aliyoitoa Waziri Mkuu wao !!
Kilichofuata God knows !!
Inasemekana aliyemuua alikuwa na matatizo ya akili 🙄 !
 
Mkuu ile ilikuwa ni inside Job ya shirika la ujajusi la ndani la Israel inaonekana kupitia mgogoro ule Israel ananufaika sana, kama watu wanaweza kumtoa waziri mkuu kafara unadhani Kuna nini? Israel inajenga makazi mengi sana ya walowez pale, Sasa jiulize kama Yasser Arafat alikubali kwamba kuwe na amani Ina maana kwamba hata wapalestine walishachoka na hali ya kukosa utulivu
 
MOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.

Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Vipi kama ni kama Sept 11?
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Israel mara nyingi kaonekana mchokozi.
Hili la sasa kachokozwa na Raia wameuawa, hivyo kapata haki ya kufanya lolote lile kwa kisingizio cha kuzuia ugaidi na kiwasaka magaidi na ndo maana kaanza vunja majengo kwa kutumia bunker bursting bombs
 
Lakini Wananchi wa Gaza wasikubali tena kutawaliwa na Hamas waanzishe vyama vitakavyoweka Dialogue mbele kuliko Ugaidi na kuingiliwa na Iran kwenye mambo yao.
Hao wananchi watatafuta mahali pengine ila hapo Gaza ndo ishaondoka hivyo
 
Ndiyo. Bado Ina intelejinsia imara.

Ila kumbuka kuwa hakuna intelejensia yoyote duniani isiyopenyeka!!
Shambulio la 9/11 linathibitisha hilo.
Unadhani ili Israel ijitanue ilipaswa nini kifamyike? Kwa gharama gani?

Jiulize kwanini watu wake wametekwa ila haijali wako wapi, yeye analipua tu kila sehemu.

Its all planned just like Sept 11
 
 
 
Mi naamini ili ijitanue bila kupigiwa kelele lazima wakubali watu wao wauliwe.
Haikuwa intelligence failure bali wameacha iwe hivyo ili wajitanue zaidi
 
Tusubili ndani ya saa 72 zijazo, Gaza, will never be the same again. Kama Mbabe Osama aliuliwa, kama kuku, na Arabs mpaka Leo hawajuhi, kabuli lake, subili tuone mtoto wa mama, mkubwa atakavyomfanya mtoto wa mama mdogo.
Gaza ndo ishaondoka kwa Wapalestina
 
MAONI: Hatutarajii zile kelele za siku zote kwamba fulani anaua watoto na wagonjwa hospitalini.

Hayo maroketi hayana macho bila shaka hilo linafahamika.
Uzuri wamelianzisha wao
Tena wameua watu kwenye sherehe, watu zaidi ya 260
 
Sababu ya kuingia Gaza na kukaa milele ishapatikana
 
Msiwape kichwa Hamas kitendo walichokifanya cha uchokozi wa wazi nauhakika Netanyahu atajibu mapigo na watalia na kuomba jumuia ya kimataifa waingilie Kati na walaani huku wakisahau wao ndio waanzishaji
Kawajibu haswa kuna magorofa zaidi ya 800 yameshafanywa kifusi. Na aliapa kuwa kitachotokea hawatakisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…