Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Tunadanganywa sana na documentary zao kuwa wapo makini ki upelelezi na kung'amua jambo linalotaka kutokea, inakuaje watu wanaanda mashambulizi ya vifaa kwa uwingi ule bila kujua na technolojia wanazojisifu nazo
Ukitumia akili utaona waliamua kuliacha ili wapate haki ya kuongeza eneo
 
Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua

amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Uko sahihi Mossad walikua na taarifa zote waliachwa wachozwe ili wapate uhalali ya kuipiga Hammas, Hesbolah na Gaza na wamefanikiwa Gaza itachazwa vibaya siku 5 mpaka 7 zijazo

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wangepata vipi uhalali wa kuichukua Gaza ?
 
Kuna kila uwezekano hawajashtukizwa bali wamepanga ionekane hivyo ili waifute gaza kwenye ramani ya palestina.

Lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu mipango yao haitafanikiwa.
 
Hii ni most complex thing !
 
Hamas kawaingiza wenzao chaka, sasa watafute sehemu nyingine
 
Iran kahusika.

Ukiwa na bahari usitegemee kuwa salama sana maana vitu vinaletwa
 
Kuna kila uwezekano hawajashtukizwa bali wamepanga ionekane hivyo ili waifute gaza kwenye ramani ya palestina.

Lakini kwa uwezo wa mwenyezi Mungu mipango yao haitafanikiwa.
Inawezekana kabisa ! Annexation nyingine hiyo !!
 
Na mpaka sasa majeshi ya Israel bado haya jaweza kurudisha maeneo yaliyo tekwa na licha ya mapigano makali yanayo endelea kati ya hamas na Israel.
 
Wakungutwe tu watoke kwenye makazi ya watu. Go hezbollah, no matter the outcome ila moto mmeuwasha
Ss ndo kumekucha
Ngoja tuone nani atatoka hwenye ardhi na mwisho nani atakuwa kakung'utwa
 
Na mpaka sasa majeshi ya Israel bado haya jaweza kurudisha maeneo yaliyo tekwa na licha ya mapigano makali yanayo endelea kati ya hamas na Israel.
Mmhh
I don't think so
Mi nasubiri kuona mwisho
 
Tusubili ndani ya saa 72 zijazo, Gaza, will never be the same again. Kama Mbabe Osama aliuliwa, kama kuku, na Arabs mpaka Leo hawajuhi, kabuli lake, subili tuone mtoto wa mama, mkubwa atakavyomfanya mtoto wa mama mdogo.
Acha watu wajitie moyo
Mi neno langu Moja nasubiri nione meisho wake ndo tutaelewa ni mapema sn....
 
MOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.

Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
CIA ina husikaje kwenye hiyo ishu?
 
Sasa wangepata vipi uhalali wa kuichukua Gaza ?
Sio rahisi kiivyo, kwanza kabla ya kuichukua gaza wakomboe kwanza maeneo yaliyo tekwa tangu juzi na Hamas.

Vita sio lele mama.
 
Iran kahusika.

Ukiwa na bahari usitegemee kuwa salama sana maana vitu vinaletwa
Ni kweli Kuna namna hawa watu wamepewa support kubwa kutoka nje, Sasa Israel ana idara tatu imara kbsa za usalama kuanzia mossad , amaan idara ya jeshi na pia Kuna shin bet idara ya ndani, pia ana marafiki ama washirika wake je ni kweli hawa wote walishindwa kupata hata intelligencia na kuzuia hilo mapema kabla ya haya madhara yaliyotokea ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…