Mkuu, Hakuna ubaya tukikumbushana uhalisia wetu katikati ya mijadala mingine kama hivi.Ila huwa mnakosea sana
Hamuwezi kuingiza hayo mambo ya maendeleo ya teknolojia kila sehemu. Sio kila kitu kinahusu maendeleo ya kiteknolojia.
Yeah technology ni kitu kizuri, maendeleo ni mazuri lakini huwezi ukawa unawaza vitu hivyo viwili 24/7. Sometimes kuna mada hata hazihusiani na hayo mambo na sio vibaya kujadili
Mfano hii mada ya ndoa hata sio mada ya kijinga. Ni moja ya vitu ambavyo binadamu wanaweza kujadili, na inahusu maisha ya watu pia
Yeah, ni jambo jemaBasi hata kama kwenda mwezini sio kitu cha maana tujikite kufufua viwanda vya nguo tuache kuvaa mitumba ya Wazungu na nguo za mchina, pamba iko ya kutosha.
Au tuangalie uwezekano wa kuboresha uzalishaji wa gesi asilia itumike ndani kama nishati tegemezi.Basi hata kama kwenda mwezini sio kitu cha maana tujikite kufufua viwanda vya nguo tuache kuvaa mitumba ya Wazungu na nguo za mchina, pamba iko ya kutosha.
Walaa! Waeleweni wazee wenu.Hii ni propaganda dhidi ya wanaume
Mkuu mada ya ndoa sio ya kijinga ila mada yako hapa umeiwakilisha katika hali ya paronia na kama hili ni tatizo tena kubwa la kupewa umuhimu na katika jamii kitu ambacho sio. Yani unasema ukifikiria hili jambo unatishika sana! Ni kama una phobia au uko paranoid tu.Ila huwa mnakosea sana
Hamuwezi kuingiza hayo mambo ya maendeleo ya teknolojia kila sehemu. Sio kila kitu kinahusu maendeleo ya kiteknolojia.
Yeah technology ni kitu kizuri, maendeleo ni mazuri lakini huwezi ukawa unawaza vitu hivyo viwili 24/7. Sometimes kuna mada hata hazihusiani na hayo mambo na sio vibaya kujadili
Mfano hii mada ya ndoa hata sio mada ya kijinga. Ni moja ya vitu ambavyo binadamu wanaweza kujadili, na inahusu maisha ya watu pia
Kuna kitu hapa huwa kinanikwaza, hii ya kutaka tujilimit kuhusu mada za kuongelea, tuwe tunaongelea maendeleo na teknolojia pekeeMkuu, Hakuna ubaya tukikumbushana uhalisia wetu katikati ya mijadala mingine kama hivi.
Ni sawa na kundi la watu lipo msibani likaamua kunywa pombe na kuanza kuongelea wanawake halafu akatokea mtu akawakumbusha kuwa wapo msibani.
Nacheza na mwanangu baada ya kutoka kupima Dieniei.Kitanda hakizai haramu mkuuπ€£
Kuna msanii anatrend anaitwa Nikki kama sikosei, ambaye amekuja kugundua alikuwa analea watoto ambao sio wake. So nimeona habari zake and I felt concerned. Ndio maana nikaanzisha mada hapaMkuu mada ya ndoa sio ya kijinga ila mada yako hapa umeiwakilisha katika hali ya paronia na kama hili ni tatizo tena kubwa la kupewa umuhimu na katika jamii kitu ambacho sio. Yani unasema ukifikiria hili jambo unatishika sana! Ni kama una phobia au uko paranoid tu.
Ningekuelewa kama ungekuwa umepitia hilo jambo au kuna wanaume kadhaa unaowajua waliowahi kupitia hii kadhia.
Ni sahihi mkuu, ndo maana sikukupinga nikasema it's ok kujadili ila it's ok pia kukumbushana uhalisia wetu.Kuna kitu hapa huwa kinanikwaza, hii ya kutaka tujilimit kuhusu mada za kuongelea, tuwe tunaongelea maendeleo na teknolojia pekee
Nchi zilizoendelea kiteknolojia duniani
Watu wa nchi hizi wanajadili masuala ya ndoa, wanajadili mambo ya familia, wanajadili kuhusu maisha yao kila siku, wanajadili kuhusu kupata watoto, namna ya kulea na kila kitu. Wala sio robots ambao wanawaza kitu kimoja masaa yote. Watu hawa ukiwakuta wanajadili kuhusu ndoa huwezi kusema wanajadili mambo yasiyo na tija, ni kwamba kuna mada nyingi ambazo binadamu anajadili muda wa maisha yake, na sio za kijinga
- China
- Marekani
- Japan
- South Korea etc
Ni majadiliano ya kawaida tu ya kibinadamu, hakuna haja ya kuyatoa maana
Naam,Walaa! Waeleweni wazee wenu.
πππ Mimi najali, nataka niwe na my own biological childrenNamnukuu Mwanaume mwenzako highly Prof Palamagamba J.A.M. Kabudi.
....But in many of our Communities here we never bothered too much with issues of biological father, Because fatherhood is social and not biological..
.....Most of us in this house and in tanzania, we are social father were father's to our children because of socialisation Biologically we are not 100% sure .... And we should not trouble ourselves to know whether we're biological father's of kids were taking care of or not" mwisho
You should not trouble yourself by anything brah and embrace the philosophy. fatherhood is social π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hapo sawa mkuu, hakuna ubayaNi sahihi mkuu, ndo maana sikukupinga nikasema it's ok kujadili ila it's ok pia kukumbushana uhalisia wetu.
Yaani wakulima tunapiga soga za siasa halafu anatokea wa kukumbusha kuwa hatujaandaa mashamba tupo nje ya muda, kuna ubaya?
Kwa hiyo leo singo maza wamepumzishwa wameingiliwa mabikira wanaochepuka? Lakini na wewe kwa nini mkeo achepuke akuzalie nje ya ndoa?Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.
Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa
Now, huwezi kulaumu watoto, kosa sio lao, lakini unaweza kumlaumu mwanamke kwa kutokukuambia, labda kwa hofu kuwa ungemuacha, ila miaka imepita umeshatumia ujana wako kuwalea hao watoto, ila kiuhalisia wewe huna chako hapa duniani. Labda ulikuwa unatamani ulete chata yako hapa duniani na umri umeshaenda tayari, mwanamke amekupotezea muda wako mwingi
Sasa kuepuka haya yote, unapaswa kufanyaje?
Watu wanasema oa mwanamke anayejiheshimu, na unayemuamini. Wewe utajuaje kama huyu anaaminika? Unaweza kumuamini 100% kwa sababu anakuigizia kukupenda au huenda ni mtu mwema outside ila ndani yake huwezi kujua. Kuna watu wengi tu waliwaamini wapenzi wao na mwisho wa siku wakaja kuwa cheated, sio kingono tu bali hadi kulea watoto ambao sio wa kwao, huku baba yao halisi yupo somewhere anakula maisha, probably anaendelea kupelekea moto wake za watu
Na pia nikifikiria kama ukitaka kupima DNA kwa kila mtoto atakayezaliwa, mke wako ataanza kuhisi haumuamini, itapunguza kuaminiana kwenye ndoa
Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Sisi ukoo wetu una damu kali sana, mimi kama mtoto sio wangu ntafahamu kwa sura yake tu, wala sihitaji DNAKuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.
Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa
Now, huwezi kulaumu watoto, kosa sio lao, lakini unaweza kumlaumu mwanamke kwa kutokukuambia, labda kwa hofu kuwa ungemuacha, ila miaka imepita umeshatumia ujana wako kuwalea hao watoto, ila kiuhalisia wewe huna chako hapa duniani. Labda ulikuwa unatamani ulete chata yako hapa duniani na umri umeshaenda tayari, mwanamke amekupotezea muda wako mwingi
Sasa kuepuka haya yote, unapaswa kufanyaje?
Watu wanasema oa mwanamke anayejiheshimu, na unayemuamini. Wewe utajuaje kama huyu anaaminika? Unaweza kumuamini 100% kwa sababu anakuigizia kukupenda au huenda ni mtu mwema outside ila ndani yake huwezi kujua. Kuna watu wengi tu waliwaamini wapenzi wao na mwisho wa siku wakaja kuwa cheated, sio kingono tu bali hadi kulea watoto ambao sio wa kwao, huku baba yao halisi yupo somewhere anakula maisha, probably anaendelea kupelekea moto wake za watu
Na pia nikifikiria kama ukitaka kupima DNA kwa kila mtoto atakayezaliwa, mke wako ataanza kuhisi haumuamini, itapunguza kuaminiana kwenye ndoa
Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Ukishakuwa na hofu hii umeshafeli pakubwa zaidi maishani.Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.

BICHWA KOMWE kwenye moja na mbiliπ πLamba kinyeo cha mkeo mpaka kiwe ndembendembe ili ulinde heshima ya ndoa yako. Kisha mpakue kimba.
Akija huku nje atabomolewa mpaka basi.
Yaani mambo sijui ya kutumia pesa kwa wazazi wamshinikize binti, mara hila kibao uje kumpata. Utafanikiwa ndiyo ila si kuupata moyo wake akupende. Shida itaanzia hapoNdo maana wanachomwa visu na kubanikwa kwenye makaa.