Nini unapaswa kufanya ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako?

Total rubbish bro!
Kulea mtoto asie wako, kuna shida gani?
Anazaliwa, unamsomesha, anakuwa, anaoa,wewe umeishazeeka una 77+!
Then you die! What difference does it make!
Kama ni kapuku, huingizi hata 3M, kwa, mwezi, achana na, hizo, mbanga,kama, una ukwasi kama, diamond, dangote, bakheresa, eron musk, Trump, may be you can worry nje ya hapo, just ignore it, unless kuna ushahid wa wazi Sana, au, kuna njemba nyingine inasema ni wake,
Vijana, wa, Africa, sie ni maskini tu, we don't have that luxury of worrying about sex and it's products, piga shule,tafuta pesa,nenda kaishi ughaibuni, pata mama ya kizungu, oa! Achana na mbanga hizi, za, kiswahili,wanaobambikia Sana watoto na wanawake wa Africa/bongo
 
Fatherhood is socialisation
Kumbe ndo maana mzee
 
Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Wanasema usimalize kusema au usiseme ukamaliza uwe na akiba ya maneno na wewe pia unatakiwa uishi kwa akiba ya kumbukumbu ishi ukimjua mkeo kuanzia siku zake za hatari yaan hata siku ambayo yeye anatakiwa kushika mimba uwe unaijua na ikitokea amegawa utamu nje na kushika ujauzito utashtuka tu maana unamfahamu vizuri
 
piga shule,tafuta pesa,nenda kaishi ughaibuni, pata mama ya kizungu, oa! Achana na mbanga hizi, za, kiswahili,wanaobambikia Sana watoto na wanawake wa Africa/bongo
Kuna mwanangu alikua na idea km hizo akazamia SA ramani ni kuelekea Europe kakaa SA tangu akiwa kijana mdogo sana miaka 19 karudi akiwa na miaka 40+ kaja bongo kachukua binti wa kibongo kazaa nae sasa hivi anaishi nae hakuna cha mama wa kizungu wala cha mama wa kihindi ukimuuliza anakwambia hakuna sehemu km Afrika
 
Ameen!
 
Hauwahusishi wale wanaoadopt watoto?

Maana kichwa cha habari kinahusu nini kifanyike kuepuka kulea mtoto asiye wako.

Ndonauliza, wanaoadopt(kuasili) si ni kulea mtoto asiye wako pia?
 
Hauwahusishi wale wanaoadopt watoto?

Maana kichwa cha habari kinahusu nini kifanyike kuepuka kulea mtoto asiye wako.

Ndonauliza, wanaoadopt(kuasili) si ni kulea mtoto asiye wako pia?
Sasa mkuu siwezi kuandika kila kitu kwenye kichwa cha habari. Ndio maana nikaandika vyote viwili, kichwa cha habari pamoja na mada. Ukivisoma vyote viwili unapata picha kamili naongelea nini
 
Serikali ingekuwa na utaratibu anapozaliwa mtoto hospital kabla ya kuruhusiwa vingefanyika vipimo vya DNA bure kabisa,ili wakitoka hapo wawe Safi.

Unajua watu kila siku wanaumiza kwa jambo ambalo linge epukika
mawazo yako yaheshimiwe
 
Me naomba kuuliza
Kwani ukitaka kupima DNA ni lazima na mama ahusike?
umewaza vizuri,unamchukua mtoto unaenda kupima nae kimya kimya majibu yanatoka kimyakimya unajua jambo kimya kimya unapanga mkakati kimya kimya na siku ya mwisho mleta tatizo anaambiwa kimyakimya pasipo shaka, akibisha sasa unamwambia mkapime,sio baadae mtoto ameshakua mtu mzima baba yake amtake ni kujianda kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…