Naam mkuuumewaza vizuri,unamchukua mtoto unaenda kupima nae kimya kimya majibu yanatoka kimyakimya unajua jambo kimya kimya unapanga mkakati kimya kimya na siku ya mwisho mleta tatizo anaambiwa kimyakimya pasipo shaka, akibisha sasa unamwambia mkapime,sio baadae mtoto ameshakua mtu mzima baba yake amtake ni kujianda kisaikolojia
Acha basi kupotosha wenzako.Chama chetu cha kataa ndoa ndio habari ya down town mkuu, tunataka kuongeza na kipengele kingine cha kataa kuzaa.... mtoto ni hasara....🤣
Sema kweliKitanda hakizai haramu.
Kama ni suala la kuelewa siyo mtoto wako na huyo uliyebambikwa na mkeo, naye si utakuwa umeelewa si wako pia?Sasa mkuu huyo unakua unajua kabisa si wako
Nilisha vunja ndoa mkuu, na watoto nimewakana laivu...🫣Acha basi kupotosha wenzako.
Una wake watatu na watoto wa kutosha halafu unawaambia wenzako wakatae ndoa🤣🤣🤣
By the way hata mimi nawakubali sana kataa ndoa natamani hii kampeni ingenikuta enzi zangu za ujana.
Oh thats bad! Ila nakuonea wivu😅Nilisha vunja ndoa mkuu, na watoto nimewakana laivu...🫣
Ndoa ni uhaini mkuu....🤣Oh thats bad! Ila nakuonea wivu😅
Naunga mkono. Sijui mimi nakwama wapi, am tired jamani😭Ndoa ni uhaini mkuu....🤣
Mkuu haka ka AI video ulikatoaga wapi?🤣🤣🤣maana Trump anayarudi mayenu siyo poa.Ndoa ni uhaini mkuu....🤣
Nakapenda sana maana kananikosha roho...🤣Mkuu haka ka AI video ulikatoaga wapi?🤣🤣🤣maana Trump anayarudi mayenu siyo poa.
Bikra hawezi nasa mimba ya mtu mwingine?OA BIKRA
Mpaka amemkuta BIKRA ameruka viunzi vingapi vya vyanaumeBikra hawezi nasa mimba ya mtu mwingine?
Sio sababuMpaka amemkuta BIKRA ameruka viunzi vingapi vya vyanaume
Watu wengi wanalala na Ex zaoSio sababu