Mi sijui wakina Mbowe wao wameridhia nini kwenye hayo maridhiano.Mwenzenu hata sijui wameridhiana nini!! Nipo nipo tu
Hivi ninyi watu mnafikiri kwa kutumia masaburi au kichwa, Roma ni kiumbe gani hadi tum discus humu."Siwaamini watawala, siwaamini wapinzani. Maana wanaendelea kukatika huku Dj kauzima mziki."
πππWana saccos mpo!!!?Maana wanaendelea kukatika huku Dj kauzima mziki."
...endelea kukata kiuno.Hivi ninyi watu mnafikiri kwa kutumia masaburi au kichwa, Roma ni kiumbe gani hadi tum discus humu.
Ushaona muimbaji wa bongo skuhizi akiimba nyimbo zenye maudhui ya ki mafundisho?
Au ya kifasihi?
Endelea kukatikaπππWana saccos mpo!!!?
Wanatuonyesha titi huku wamezificha chuchu ππ"Siwaamini watawala, siwaamini wapinzani. Maana wanaendelea kukatika huku Dj kauzima mziki."
mkuu wewe ni me au ke? samahani lakini...Amemic kutekwa
lini umefanya maridhiano mpaka upumbazwe? kama unaona maridhiano unapumbazwa achana nayo.Maridhiano yanatupumbaza
Et kwa sababu wanadai kwamba aliwahi kutekwa na aliyekuwa Rais wa nchi kwa sababu et hizo hizo nyimbo zake, hivyo ndio ikampa ukubwa fulani hivi.Hivi ninyi watu mnafikiri kwa kutumia masaburi au kichwa, Roma ni kiumbe gani hadi tum discus humu.
Ushaona muimbaji wa bongo skuhizi akiimba nyimbo zenye maudhui ya ki mafundisho?
Au ya kifasihi?
Hivi ninyi watu mnafikiri kwa kutumia masaburi au kichwa, Roma ni kiumbe gani hadi tum discus humu.
Ushaona muimbaji wa bongo skuhizi akiimba nyimbo zenye maudhui ya ki mafundisho?
Au ya kifasihi?
*Engine ya Isuzu[emoji736]Kichwa cha suzuki engine ya fuso[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji848]
Hizo ndo basata wanazupendaHizi ndio nyimbo za kusikilizwa na wanaume sasa sio wale wabana pia eti sijui usishike kirungu utaita wazungu
Na huyo ndio alilambishwa asali kwa kisu akaumwaga wino πInasemekana Roma kabla ya kutekwa alikua anataka kutoa Dis track kwenye Uongozi wa JPM,
So Makonda akamuwahi....π€π€