Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

Ndoa za kulazimisha hizi mwisho mwake huwa majanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ni wako ni wako tuu na atakuoa, ukiona hapaeleweki unaanzisha tu, waoaji wapo wengi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Labdo uko miaka 40 waoaji hamna, utafanyaje?
 
Waume za watu wenyewe ndo hao waliopigiwa magoti kuombwa ndoa saizi wanahaha nje na michepuko😀😀😀😀

Wake za watu wenyewe ndo hao walioolewa lakini hawana hisia na waume zao 😀
Kwanini hao wake hawana hisia na waume zao Amehlo
 
Back
Top Bottom