NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

Nilipo bold unaniuliza halafu unajijibu mwenyewe sikuelewi.
Any way embu uweke hapa huo ufafanuzi wa NSSF Kwa nini wamedhamini hiyo
Wewe ndio unatakiwa ujibu hayo maswali , Kwanini unalalamikie kitu ambacho hujui kimefanyika kwasabu gani...nimekuuliza umesha sikia chochote kutoa kwa NSSF wakieleza hiki, nime assume haujasikia ndio nakuuluza Kwanini unalalamikie .

Mimi sijasikia sababu ya kudhamini ndoa lkn siwez kuwalaumu kwasababu naamini wale ni wasanii ,wafanyabiashara hivyo NSSF hawawezi kufanya kitu wasichofaodika nacho
 
Watu wanajadili haya mauzauza waliyofanya...
Unafikir kuna mtu ataenda tu kununua nyumba...kisa sijui nandy bily waseme
Unafikir watu hawazijui hizo nyumba
Zao

Ova
 
Siku nenda kigamboni
Kafanye tour ya hizo nyumba
Uzikague...
Kuanzia suala la ubora,materials, na gharama na taratibu za uzwaji..je ni sawa

Ova
 
Naona una tatizo, Kuna watu wameacha/achishwa kazi wameambiwa wangoje hadi wafikishe 55 yrs ndo wapewe mafao Yao halafu NSSF anatumbua pesa zao kwenye harusi halafu unashabikia ujinga?
Hiyo ni kanuni mzee sio kwamba Nandy na Billnas ndo wamewaachisha kazi au wamezuia hayo mafao. Lilaumu bunge lilitunga hiyo sheria na sio hao wanandoa
 
Kuna vitu vinasikitisha sana,ukiona jinsi wazee wanavyozungushwa kupata hela zao pale NssF,afu huku zinatumika tu,,,waAfrica aliyeturoga sijui nani![emoji1373]
 
Mama SAMIA, Bado anaweza akaangalia upya.


Kama
ni kweli Mama Samia wajibisha kurugenzi ya masoko ya nssf.

Huu ni upuuzi. Tukio la siku moja ambalo halina impact yoyote kwa mnufaika wa mafao haliwezi kukuharibia jina la serikali yako.
Una assume, blindly and naively, kwamba Samia mambo haya hapendi.

Samia anaekwenda kwenye vi birthday vya kina Sugu, anamtibu Pro Jay kwa hela yetu, ataonaje kuna tatizo kwenye bullcrap kama hizi ?

Samia amekwama hayupo in town, anatamani angekuwepo harusini.
 
Usipende kupanic kwa mambo ambayo hayana impact kwenye maisha yako hio ni comment ya mtu lakin naamin kama una pressure itakua imepanda hii ni jukwaa huru na ni uwanja wa fujo mambo mengine unayapotezea life is too. short
Ni kawaida yao, atakulipua na yeye ajilipue akawahi bikira zake 72 akhera [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una assume, blindly and naively, kwamba Samia mambo haya hapendi.

Samia anaekwenda kwenye vi birthday vya kina Sugu, anamtibu Pro Jay kwa hela yetu, ataonaje kuna tatizo kwenye bullcrap kama hizi ?

Samia anatamani angekuwepo harusini.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
...Sijaelewa Mkuu, una maana NSSSF ya Akiba ya Wazee? Leo wanadhamini Harusi ya Wanamuziki? Wapi na Wapi???
 
Hii nand na nass wameamua kufanya biashara na wataingiza pesa nyingi kutokana na hili hawa ni celebrity so wana impact kubwa Sana Kwa jamii. Ndugu mwwnachama tafadhal Kuwa mpole
...Wao wenyewe ni Wanachama wa hiyo Mifuko ?? Tuanzie Hapo kwanza...
 
...Wewe ni Mstaafu? Wana Haki? Kudhamini Ndo Mtu kunahusiana Nini na Akiba ya Wastaafu'???
Kila taasisi ina bajeti kwa ajili ya mambo yake ya kitaasisi, hata hili la Nandy sio suala la ajabu, bajeti ina fanya kazi, alie leta mvurugano ni JPM hivyo nssf wako salama, Rais akiamua kuzuia pesa unataka wao wafanyaje?
 
Samahami sijafatilia hiyo sherehe, naomba nifahamishe .
Kwenye hiyo sherehe kuna tangazo la NSSF kuwa wanauza nyumba lilitangazwa?
Ili kujuatfy point yako.
Kwenye sherehe hawawezi kuweka tangazo mkuu, lakini ipo hivi wameanza kwa kwenda kununua nyumba ili wakaishi huko hawa wanandoa na waandishi wa habari wakawepo na ikatangazwa kwenye taarifa ya habari ya usiku katika vyombo vyote vya habari, hili ni TANGAZO moja wapo.
Baadae kwenye kila harakati zao za maandalizi ya harusi zilizokuwa zinarushwa kwenye mitandao ya kijamii ya baadhi ya vyombo vya habari na kwenye account za watu maarufu kulikuwa na hashtag ya #NSSF, mkuu mpaka hapa kuna haja ya ku justify kwamba haya ni MTANGAZo!!!!!???
 
Umenena sawa mkuu, hao wivu na umasikini vinawasumbua
 
Hapo ukienda kwenye kaunta zao ofisini unakuta kuna kina mama na wazee wanahangaikia mafao yao miaka na miaka, bongo nyoso sana [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…