Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kule kwenye chama kimoja, hakukuwa na internet, hakujuwa na uhuru wa vyombo vya habari, unapiga kura Nyerere na kivuli uchague rais, hapo kick inayohitajika ndogo tu.Means waliopita they didnt need this, hawa wa sasa ndio wanaendekeza?
Hizo ni nguo tu. Hata majambazi wanavaa. Sioni shida zikivaliwa na Rais yeyote.Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania.
Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wakati wa vita ya Kagera na kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika.
Ukiachilia mbali Mwalimu, Mzee Ali Hassan Mwinyi na Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete yeye alikuwa ni mwanajeshi kabla hajawa Rais.
Lakini sina kumbukumbu kama hao maris wanne wa Tanzania enzi wakiwa ni Marais wa Tanzania, waliwahi kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao.
Kama Kuna kumbukumbu za Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao, naomba niwekewe ili nibadili mafaili kwenye kumbukumbu za mbongo yangu.
🫡Nilisema majeshi kwanini yasimpe u-field marshal. mtukufu rais daktari profesa, sheha, al hajat, maulana , hurulaini, maalima, ustadha, imamati, swaibat
Wewe Sasa ndiyo umeongea nini. Kama ni nguo tu kwa nini raia hawaruhusiwi kuzivaa?Hizo ni nguo tu. Hata majambazi wanavaa. Sioni shida zikivaliwa na Rais yeyote.
Kama watoto.Means waliopita they didnt need this, hawa wa sasa ndio wanaendekeza?
Asipoelewa nahapa tena tumpopoe namawe hakikaRais aliyechaguliwa kidemokrasia kuvaa gwanda la kijeshi popote pale ni kuvunja misingi ya kanuni za "civilian control of the military".
Katika nchi za kidemokrasia, jeshi linamilikiwa na kuongozwa na raia. Ndiyo maana linaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Rais kuvaa kiraia ni symbolism ya kuonesha raia wapo juu ya jeshi, wanaliongoza jeshi.
Rais akivaa kijeshi ni symbolism ya kwamba nchi haiongozwi kiraia tena, inaongozwa kijeshi, kitu ambacho hakitakiwi katika nchi ya kidemoktasia.
Ndio mkuuUlikua mke mdogo kumbe
Basi sawa unahakiNdio mkuu
kila zama na kitabu chakeMwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania.
Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wakati wa vita ya Kagera na kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika.
Ukiachilia mbali Mwalimu, Mzee Ali Hassan Mwinyi na Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete yeye alikuwa ni mwanajeshi kabla hajawa Rais.
Lakini sina kumbukumbu kama hao maris wanne wa Tanzania enzi wakiwa ni Marais wa Tanzania, waliwahi kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao.
Kama Kuna kumbukumbu za Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao, naomba niwekewe ili nibadili mafaili kwenye kumbukumbu za mbongo yangu.
Asante kwa elimuRais aliyechaguliwa kidemokrasia kuvaa gwanda la kijeshi popote pale ni kuvunja misingi ya kanuni za "civilian control of the military".
Katika nchi za kidemokrasia, jeshi linamilikiwa na kuongozwa na raia. Ndiyo maana linaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Rais kuvaa kiraia ni symbolism ya kuonesha raia wapo juu ya jeshi, wanaliongoza jeshi.
Rais akivaa kijeshi ni symbolism ya kwamba nchi haiongozwi kiraia tena, inaongozwa kijeshi, kitu ambacho hakitakiwi katika nchi ya kidemokrasia.
Vitabu haviandikwi nje ya lugha inayoeleweka na hadhira. Usiandike kitabu kwa kichina Kwa hadhira ya wamakonde.kila zama na kitabu chake
Sasa wewe unataka nipime uwezo kwa kumuangalia mtu wa mwisho darasani badala ya kumuangalia anayeongoza darasani?
Haya,
Afrika Kusini Rais Thabo Mbeki aliondolewa madarakani.
Inaonekana hujui historia.
Ulitaka hao majenerali wafanye nini? Hivi kule kwenye nchi Marais wanatumia jeshi kuua raia zao huwa majenerali wanaona Sawa au si sawa?
Kimantiki Rais akitaka kuvaa gwanda la jeshi Jenerali anatumia mbinu Gani kumzuia asivae?
Sisi tuna Aina yetu ya kuongoza mambo yetu
Sheria inaweza kuchange anytime Kwa ajili ya kuweka Jambo flan lifanyike
Nambie inch gani umewahi kuona kiongozi anaapushwa kuwa waziri kwanza then ndio anaanipishwa kuwa mbunge?
So Sisi tuna mambo yetu kivyetu vyeti
Katiba yetu inaruhusu watu kuandamana je watu wanaweza kukubaliwa kuandamana ?
That's why nakwambia usitoe mifano Kwa inchi ambazo hazipo kama inchi yetu
Huo uvaaji ulianzishwa na Magufuli. Sijui sababu ilikuwa nini. Kagame na Museven ndio wavaaji wakubwa wa sare hizo na wao wanajulikana walitawala mwanzo kwa mapinduzi.Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania.
Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wakati wa vita ya Kagera na kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika.
Ukiachilia mbali Mwalimu, Mzee Ali Hassan Mwinyi na Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete yeye alikuwa ni mwanajeshi kabla hajawa Rais.
Lakini sina kumbukumbu kama hao maris wanne wa Tanzania enzi wakiwa ni Marais wa Tanzania, waliwahi kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao.
Kama Kuna kumbukumbu za Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao, naomba niwekewe ili nibadili mafaili kwenye kumbukumbu za mbongo yangu.
This logical fallacy is called "argument from tradition".
Yani unapinga mabadiliko kwa kusema "huu ndio utamaduni wetu" hata kama utamaduni ni mbaya.
Suala si sisi tumezoea nini, suala ni hivyo tulivyozoea ni vizuri au vibaya? Kama ni vibaya, tunaweza kubadilisha au hatuwezi kubadilisha?
Kama unaongelea sisi tumezoea hivi tu, basi hakuna hata haja ya kujadili mambo JF ili kujiongeza, unajadili nini wakati ushasema sisi tumezoea hivyo?
Kwanza kabisa unafananisha vitu visivyofananishika. Unafananisha nguo za michezo na nguo za jeshi.Mimi ningekuelewa kama hoja yako ingekuwa Rais amevaa cheo cha kijeshi na hajawahi kuwa mwanajeshi
Ila kuvaa uniform kwenye tukio la kijeshi shida Iko wapi?
Angekuwa anavaa offisini au kwenye ziara za kikazi hapo Sawa
So Rais akivaa jezi kwenye uzinduzi wa michezo ni tatizo?
Putin na xi Jin ping wavaaji wazuri tu wa kombatiHoja ya Kiranga kuwa Afrika wanapenda Rais mbabe ndiyo inabeba mjadala mzima.