Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kanisa Katoliki? Sema Mungu yuko nyuma yake!Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
AiseeAnd I can not waste my time on discussing scripted drama's gentleman 🐒
Akili kisoda, wewe tunakuhitaji sanaLifuteni tuone
Muislam muuaji hujambo ??jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi gentleman, hakuna haja na porojo zingine nje ya mada mahususi mezani
Too much hatred for a single soul!Muislam muuaji hujambo ??
Kila mkristo ni adui yako kabla hajakukosea lolote. Sio kila mkristo ni mkatoliki. Ikitajwa dini/dhehebu/ Kanisa lolote linalomuamini Yesu, unatamani kutapika.
Unaugua ugonjwa mbaya sana unaoitwa, chuki kwa wakristo na ni ugonjwa usiopona, utakaokuua mwenyewe.
Correct 💯.Kwanini kila kitu kinachopingana na mambo yanayoendelea, mnahusisha na kanisa katoliki?
Wakati Lissu anamsema vibaya Nyerere kuhusu Muungano, alitumwa na nani?
WAswahili wanasema, mbaazi ikikosa maua, huwa inasingizia jua.....
Kwa sasa watanzania wanajua nani hasa ni tatizo.....
🛑🛑Katika biblia takatifu tunafundishwa hapo mwanzo palikuwa na NENO,neno alikuwa ni (. ), kauli zenye nia OVU ndicho chanzo cha mauaji,mchawi kabla ya kufanya uchawi huanza na evil-invocation,NENO OVU kwa asiye na hatia,never undermine the power of words,huwa nashangaa sana wanaosema hii ni kesi ya mchongo,bila kuona au kudadisi SOURCE ya uovu, UOVU HUANZA KWA NENO,MATEKELEZO HUMFUATA🛑🛑Kwa nia njema. Hivi bro Huwa unapataga muda kama Binadamu mwenye Akili timamu na ukijua kuwa Kuna Mungu na ukutafakari ukiwa peke Yako hiki unachoandikaga humu kuwa ni sawa au umejitoa Akili kwamba huoni wala hujui chanzo Cha haya yote?
Bro hata kama uchawa, sio hivyo. Badilika na ujitahidi uwe hata na kautu kadogo.
Hii kweli akili mnemba, sasa, Lisu Kagoma kwa vile jeshi LA magereza halimpi Uhuru wa, kuongea na mawakili wake, sasa, hapo Katoriki anaingia vipi? Kuna siku, utatuwmbia magereza ni Mali ya kanisa!Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu hawezi kuwa nyuma ya asiyeheshimu mamlakaKanisa Katoliki? Sema Mungu yuko nyuma yake!
Lazima aishi kama wengine….Hii kweli akili mnemba, sasa, Lisu Kagoma kwa vile jeshi LA magereza halimpi Uhuru wa, kuongea na mawakili wake, sasa, hapo Katoriki anaingia vipi? Kuna siku, utatuwmbia magereza ni Mali ya kanisa!
Nyie si mnà nguvu na mamlaka? Lifuteni sasa mnasubiri nini? Mnasubiri lilete maafa makubwa zaidi? Futeni Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume kama nguvu hizo mnazo tuone maana mmezidi kulalamika kila siku. Kama la Gwajima tu mliufyata huku sijui mtaanzia wapiKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
watashindwa tu na sasahivi ni mwendo wa risasi tu , Twaha keshatanuliwa tundu la Asili na yale mamacho yake yameshatobolewa ahaaa ahaaa ahaaa haoni sasahivi na hana fahamu mpka wiki ijayo ndo ataamkaKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nyie si mnà nguvu na mamlaka? Lifuteni sasa mnasubiri nini? Mnasubiri lilete maafa makubwa zaidi? Futeni Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume kama nguvu hizo mnazo tuone maana mmezidi kulalamika kila siku. Kama la Gwajima tu mliufyata huku sijui mtaanzia wapi
Vitu vingine tumieni common sense,hukumu imetoka ikawa upande wa Lissu!Mawakili wakaenda kumuona,Hali ikawa ile ile,akawapa hukumu wakasema hawaitambui!Baadae wakasema watakata rufaa hivyo hakuna faragha,ndio akaamua hapo hapo kwamba,kwakuwa ananyimwa haki zake pamoja na hukumu kutoka basi anaanza mgomo wa kula!Lazima aishi kama wengine….
Ingependeza sana kama hai wanaomshawishi lissu kugoma kula na wao wangeacha kula
Sawa wakatoliki tupo na tumekusikiaKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mwambieni samia tutamkuna hadi akojoe.Kupitia TEC,

Haueleweki,unaongea kama mtu aliyekatwa kichwa!Lkifutwe nanani kwa misingi ya nini Kanisa ni muhimu kuwepo kwa maslahi ya CCM kuendelea kuongoza taifa
Serikali haiwezi kufuta UKRISTO Kanisa Kotoliki au UISLAM sababu ni nguzo kuu za Serikali na CCM yenyewe ✍️
Ugomvi wa Kanisa katoliki ni kama wivu wa wake wawili kwa Mume mmoja kwa mume wote wawili wanaumuhimu sanaaaa !
Wivu wa Kanisa katoliki ni kusema kwasasa Mume yupo kwa mke mwenzie na simwengine ni muislamu
Mume akija kwake Wivu wake unaisha na utamuona akitabasamu kila wakati pasi sababu yoyote
Vitimbi vya Kanisa Kotoliki ni vya muda tu lkn lenyewe lipo kwenye ndoa
Vuta Kumbukumbu 2015 jinsi Kanisa Kotoliki kupitia Dkt Slaa pale Serena hotel wkt Dkt Slaa anaongea na vyombo vya habari na kusitisha alakati za kuiondosha CCM Madarakani 🤠🤠
Nyinyi nyumbu tukiwapigia kelele mnatuona sisi vichaaa
Kumbe sisi ndio tunasema kweli na huko kwengine ndio
wanawadanganya kama wapumbavu na watoto ❗😳😳
Elimikeni nyumbu kisa cha Dkt Slaa
Hile 2015 kilitokana na ukweli huu
Rip JPM CCM ni Kanisa Mkatoliki
Na
Rip Edward Lowassa Chadema alikuwa Kanisa KKKT
Kanisa katoliki wanaitumia Chadema kupambania Maslahi yake kama Kanisa katoliki ✍️
Sio Demokrasia
sio Wakristo
Nyinyi nyumbu wengine mtabaki nyumbu kila siku kama vichwa vyenu vimekuwa vya kufugia nywele ✍️