Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

Sawa, so what!
Kama bandari yao tayari washaiuza na hamna la kuwafanya zaidi ya kutungatunga tu humu vithread vya kupotezea muda.
 
Chawa wake watamuombea.
Na ndio maana pengine vimeanzishwa vyama vya kumsifia na kumpamba!
 
Sawa, so what!
Kama bandari yao tayari washaiuza na hamna la kuwafanya zaidi ya kutungatunga tu humu vithread vya kupotezea muda.
Hivyo “vithread” ndio vinawafanya wajitathmini vizuri. Kwani kuna watu wamefanya maandamano ya maana isipokuwa hivi “vithread” tu.
 
Na huu ni mmoja katika ile mikataba 37 iliyosainiwa kwenye maonesho ya Dubai,hatujui hiyo 36 iliyobakia inasomekaje, ukisikia kuuzwa sasa ndiyo huku. Maza anaupiga mwingi hadi unamwagika.
 
Anasoma jf!

Na juzi amegundua ile operation ambayo ilisitishwa alipopewa maagizo nini afanye awamu Hii,imehuishwa tena SASA hajui hatma yake ni ipi coz kitabu /katiba kavuruga hakuna chochote hadi sasa kinyume na makubaliano kwamba UCHAGUZI wa serikali za mitaa usubiri hadi katiba mpya!hadi SASA hakuna katiba wala nini zaidi ya sakata la Bandari na kufukuzwa KWA masai ngorongoro!!

anajua MAANA yake nini kina Dr slaa wanapoanza press!!

tuendelee kusubiri!!
 
Toka awali wenye ufahamu tulijua kiti hakina mtu...
Kabisa, kuna ombwe la Uongozi wa juu katika nchi yetu.
Nadhani katiba mpya inatakiwa iwe kwamba akifariki au kujiuzuru kiongozi aliyechaguliwa na wananchi basi makamu wake ashikilie tu kwa siku 90, halafu uitishwe tena uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kumpata kiongozi aliyechaguliwa na watu..
Kuongozwa na mtu ambaye hajachaguliwa kushikilia nafasi ya juu kama hiyo, matokeo yake ndo haya. Hakuna kujali nchi, wananchi pamoja na rasilimali zao.
I have never ever seen such a leadership since I was born!
 
Eti "mama anaupiga mwingi..!!" You can imagine nchi ilivyo na viumbe wa ajabu hii..
 

Uko sahihi inatakiwa kuwa hivyo, wakati wa hicho kipindi cha mpito Huyo Rais anayekaimu hatakiwi kusaini mikataba yoyote mikubwa mikubwa hadi serikali yenye ridhaa ya wananchi itakapochaguliwa.
 

Malecela mke wake (Anne Kilango Malecela)ni Kati ya wale wabunge 30 walioenda Dubai kutalii, shopping na kulamba asali. Kwahiyo lazima aunge mkono.

Judge Warioba siku zote anasimamia ukweli na haki.
 
Wakatoliki acheni chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…