Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

Kumradhi kwa neno hilo mkuu, japo nilimaanisha nilichokisema, mimi hudhani ni wasichana wadogo tu na wavulana ndio hawaelewi haya mambo, nimekutaka radhi ndugu.

Kama zamani hakukuwa na hizo shida basi ujue matumizi ya pills yaliyoletwa na usasa huchangia kwa kiasi kikubwa.
 
haina shida!
basi na wakubwa, pengine wachache sana, tupo tusioelewa vizuri. ushahidi wetu wa ukubwa ni pale tunapojaribu kwenda ndani zaidi ili kulielewa jambo 'in and out'. mara nyingi wadogo hawajishughulishi na 'whys' au 'hows'! radhi imepokelewa kiongozi, limekwisha hilo; najua na najua unajua kuwa 'we are not that serious' katika hili.

nakubaliana na hiyo hoja ya usasa na pills, ni hatari sana. na tatizo zaidi ni kuwa huwaambii kitu hawa kina dada na huu usasa wao!!
 
mabadiliko ya tabia nchi!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanatakiwa wakikutana vicoba washauriane njia za kusafisha Papuchi zisitoe.... Kali
 
Ila kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi khaaaaaaπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Mkuu ishawai nitokea...ilikuwa gegrdo langu la kwanza tangu nibarehe... nilikutana na harufu kali...mpaka mashine ililala ghafla....mpaka leo ni zaidi ya miaka mitano,,,nawachukia wanawake nahisi wote wananuka papuchi....Kiukweli imeniathiri kisaiklojia,,,na sijui kama nitakuja kuoa...
 
Unakuta unamwambia kuwa umegundua ana hilo tatizo anakumind tena anaona unamsema vibaya....... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hiyo ilikuwa kali sana inaonekana, mpaka unataka kususa kuoa kabisa!!!!!
 
Labda wanakuwa wametumika sana ( over used)!

Kina Mama huruma !

Kuna watu wametekewa na nguvu za Giza kwenye ngono.

Hapa hata wanaume pia wapo!

Yani mtu yuko tayari wakati wowote kungonoka na mtu yeyote bila kujali nafsi yake.

Akili yake ni ngono tu.

Kuna watu wamejikataa kabisa nafsi zao.

Wako tayari kwa lolote na hawana cha kupoteza !

Watu hao ni hatari sana!

Ubaya sasa wakianza kuugua wanaopata tabu ya kuuguza ni ndugu zao.

Mchumajanga hula na wakwao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hiyo ilikuwa kali sana inaonekana, mpaka unataka kususa kuoa kabisa!!!!!
wazazi wananiuliza nitao lini...mi naishia kukwepa kuwajibu...mpaka wanahisi sio mwanaume kamili,,,mpaka wadogo zangu washaoa mimi bado,,,nikikumbuka ile harufu nachukia ghafla
 
wazazi wananiuliza nitao lini...mi naishia kukwepa kuwajibu...mpaka wanahisi sio mwanaume kamili,,,mpaka wadogo zangu washaoa mimi bado,,,nikikumbuka ile harufu nachukia ghafla
hahahahaha vaaga maski hua inasaidia wallahi
 
Wazungu wao wanatumia vitu kama vagisil kusafisha hayo maeneo. Wadada Tz hawatumii. Na hawajui ni muhimu kufanya hivyo. Search google VAGISIL Ili kuijua ni nini. Ni kama sabuni za maji maalum kwa kusafishia hizo sehemu
The active ingredients in Vagisil are Benzocaine (5%), a local anesthetic which reduces the itching, and Resorcinol (2%), an antiseptic which treats the skin irritation.
In February, 2021, Vagisil launched new products labelled OMV! which are scented wipes, cleansers and anti itch creams for vaginas and vulvas.
The marketing was directed at teenagers, which resulted in criticism on social media by doctors. Some of them expressed worry that the advertising campaign will make teens ashamed of their vaginas and that the treatment will cause issues such as irritation and allergic reaction. They worry that the teens may not seek medical advice for real issues, such as YEAST infections that SHOULD NOT be treated with Vagisil.
Others agree that the vagina should be left alone and does not need special cleaners or refreshing, which I personally agree too. Vagisil responded to this criticism by explaining that their products have an appropriate pH level for external use in the vulva area and have been tested by independent dermatologists and gynecologists.
A spokesperson for Vagisil stated that their products are not for everyone and that they created OMV! in response to active young woman who have expressed "...worry about period hygiene and odours". The doctors countered by stating that, "menstruation is natural and vaginas are not supposed to smell like the OMV scents, roses or vanilla.

NB;Apply at your own risk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…