Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Zamani ilikuaje mkuu??
Zamani ilikua unsongea na fundi wa Dawasco anakuja kukuvutia maji na mita akimaliza unampa pesa yeye, na ukiwa uliipii maji siku wakaguzi wakipita wakitaka kukufungia unawapa elf 10 fundi wao anafungua mita na zamani ilikua unaenda kulipia ofisini kwao na siyo kwenye simu .
 
magereza nadhani ni ya kwanza, na kwa namna wanavyomnyanyasa lisu, wakae hivyo hivyo wasiongezwe mishahara ili wakope hadi wapate akili.
 
Mkuu.. tutajie jina kwani anakuona?
 
Kwani mnapozungumzia mnamaanishaje
Ni mshahara mdogo?
Hakuna marupurupu ya safari, vikao n.k
Hakuna mianya ya kupiga pesa kwa njia za panya?
Hawalipi kwa wakati?
Katika hayo matatu mimi namuogopa muajiri asiyelipa mshahara kwa wakati, kuna makampuni binafsi watu wanaweza kupitisha hata miezi mitatu hawajalipwa
 
Tuziombee
 
Tarura🤣🤣
Tarura Pako vizuri sana,
Mshahara wa engineer wa tarura ni sawa na tanroads tena pia wana extraduty, incentive,akijumlisha vyote hakosi 3m
-anamzidi engineer wa manispaa aliyefanya kazi miaka 15, anamzidi askari magereza police, uhamiaji, zimamoto mwenye degree aliyefanya kazi miaka 15,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…