Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

Mungu ni mwema utampata! Sogea kule kwa dalali ujichagulie taraatibu🫴🏾😊
 
Kama mwanaume unaoa, unamiliki mali na unatumia teknik ya kuficha mali, fedha na mshahara basi wewe siyo mwanaume wa kikwelikweli bali ni gumegume.

Umeoa halafu unogopa mke, wewe usije kwenye vikao vya wanaume kabisa.
Unashindwa kujifunza nini? Km huwezi kujifunza hayo yote basi jifunze kwa waliokutangulia anza na Baba yako, Mjomba yako, Baba yako Mkubwa, etc jifunze kwao.
 
Hili nimeshatolea ufafanuzi huwajui Wanasheria? Unaishi km upo 1900 hii ni 2026 tafuta Mwanasheria wako, acha kuishi kijima
 
Hujamaliza mkuu,
 
Mwanamke muadilifu lazima ajiridhishe kwamba mtu anayemuoa anafanya kazi halali. Hatataka kufunga ndoa na mtu ambaye kazi yake ni ujambazi au shughuli nyingine haramu!
Upo sahihi, kwani mfano nikisema mimi ni fundi selemala naondoka asubuhi smart kabisa naingia ofisini ila mimi mimi ni fundi wa kupaua na hii kazi mke wangu haijui pia mimi ni fundi wa kuchimba visima mke wangu hajui km nafanya hii kazi mimi mimi ni mtu kudeal na vifaa vya magari na pikpiki yaan gereji ufundi, hivi fanya calculations zako vizuri jioni nikirudi familia inafurahi tatizo lipo wapi? Anakula, anavaa, watoto pia wote wanapishana kwenda chooni nini shida hapo?
 
Sasa kwa upuuzi huu kwanini mwanamke asichukie
 
Nimemaanisha uwe na subira utapata 😃

Watoto wana baba yao, sio
Lazima wakuhusu mkuu ndugu yangu😊
Umeona mpaka VERBOSE amecheka maana analijua chaka unalotaka nilibebe ,hao watoto pasina shaka ni wakubwa ,uwa hawakawii kukutimua siku wakiamka vibaya hasa ukikuta ni wakiume mbona nitakuwa nakuja kila siku kulia hapa ,watoto hawanitaki ila mama yao ananipenda 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…