Kwahiyo mama haupigi mwingi na hajaiponya nchi?Mama ameamua kufuata mkondo ule ule wa Jiwe. Amekuwa, amekomaa na kurithi tabia zile zile mbaya na mbovu.
Usisahau tu, wakati jiwe akiwapoteza wakosoaji wake, mama alikuwa msaidizi wake mkuu.
Kwahiyo unadhani kumshambulia padri ni njia sahihi na kuzuia yaliyotokea RwandaDuu. Ila huyu Maria Sarungi wa chadema kumbe ana close link na huyu Pad Kitima kulielekeza pasivyo Kanisa la Roman Catholic la Tanzania ku support kufanikisha uhaini wa Tundu Lissu? Kama ni kweli basi ni jambo jema kwani hatutaki yatutokee yaliyotokea Rwanda ambako Kanisa hili lilitumika kwa kiasi kikubwa kuchochea moto uliotokea.
Sidhani kama wameamua kutulia tu, sidhani!J.Kikwete, Warioba, Msekwa na wazee wengine.
Kweli mpo tu mnaona haya yanatokea?.
Nashauri tufute kumbukizi ya hayati J.K Nyerere, maana mnasema tunamuenzi wakati tunamtukana.
Hata mimiNtasoma comments tu
CCM ni jadi kutokuwa na akili na hili umelithibitisha kuwa huna akiliAcha uongo mbona mimi mkatoliki na sijauwawa? Huyo Padre tunamjua ni mwana Chadema ila anajificha tu kwenye upadre hata baadhi ya Maaskofu walishaanza kumshitukia.
Tunaelekea kubaya.poli
MWAMAKULA huwa ana kabisa wapi? Mkuu haya maswali nyumbu wakikupa MAJIBU utanitagIvi ma padre si wanaishi Jimboni? Inakuaje padre anakua na kwake?
Nina uhakika hata wewe hu3lewi unachokisimamia kwenybhoja yako😭Ni wakati sasa kuacha kulaani kijumlajumla namna hii wakati kuna kundi la genge maalum linalofanya kila aina ya uchafu kuhakikisha SAMIA,( na siyo lazima CCM au serikali) anabaki madarakani.
Hawa ni watu wanaomfanyia kazi Samia, si lazima wawe wanaifanyia kazi Serikali au CCM.
Siamini hata mara moja kwamba CCM kama chama kinayaruhusu maovu haya; hata kama ni kwa kulinda maslahi ya chama chao.
Hii ni nkazi ya watu wachafu waliomo ndani ya CCM, wanaotumia ukaribu wao na Samia kufanya uchafu wa aina hii na mingine mingi unaoonekana sasa.
Steve nyerere ni wa hovyo sanaSteve Nyerere jana amewachana Watu wa Dini kupinga ccm
Kinyume chake ndio wanamkwamisha!Nadhani ni muhimu tuanze kuwa wakweli.
Hapa siyo swala la "CCM kutojiamini".
Haya yote yanakuwa hivi kwa sababu SAMIA anajuwa hawezi kushinda na kubaki kuwa Rais hata chini ya CCM.
CCM sasa inatumika tu kama kivuli cha kujificha hao walio na ajenda ya kuhakikisha Samia anabaki kuwa Rais, hata kwa njia haramu kama hizi.
Kama ilnavyo tegemewa toka kwa watu kama wewe. Kwamba sasa wakati umefika wa kuonyesha chama cha CCM ni cha akina nani! Chama kimetekwa bila wao kujitambua. Ninaposema wao, ni wote waliomo ndani ya chama hicho wanaokitumia kama fursa ya kujineemesha. Hatimae wenye chama halisi sasa wamekichukua moja kwa moja.Duu. Ila huyu Maria Sarungi wa chadema kumbe ana close link na huyu Pad Kitima kulielekeza pasivyo Kanisa la Roman Catholic la Tanzania ku support kufanikisha uhaini wa Tundu Lissu? Kama ni kweli basi ni jambo jema kwani hatutaki yatutokee yaliyotokea Rwanda ambako Kanisa hili lilitumika kwa kiasi kikubwa kuchochea moto uliotokea.
Kikubwa ni watu kuweka tuhumu na dhana bila ushahidi, wakati kiusalama hata adui anaweza kusoma mchezo na kufanya tukio ambalo ana uhakika wewe utakuwa mtuhumiwa namba Moja ili afaidike.Inasikitisha sana
Kwa sasa uko upande wa CCM lazima uitete,lakini Kuna siku either wewe au ndugu yako atakumbwa na hii gharika,chini ya mzanzibar,hakuna aliye salama kwa asilimia 💯, at any time unakula chumaKuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?