Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Acha uongo mbona mimi mkatoliki na sijauwawa? Huyo Padre tunamjua ni mwana Chadema ila anajificha tu kwenye upadre hata baadhi ya Maaskofu walishaanza kumshitukia.
Kwani yeye kuwa CHADEMA ni kosa kisheria au hatakiwi wewe mnduku? Mbona kina mwamposa na kina BAKWATA mnao huko kila uchwao hamuwalalamikii ? punguzeni ubinafsi hii nchi ni yetu sote.
 
Huyu Huyu Frey Edward Cosseny ni nani kwenye serikali ya CCM?
 
Is it wrong for a person to criticize the government today, especially when it is full of evils like the current one, or is it wrong for a religious leader to support any opposition party?

Is there any law that requires all people to support only the ruling party?

Those who ask why so many people come out to celebrate a military coup can now find an answer.
 
Kwahiyo ukiingiza siasa ni haki kushambuliwa na hata kuuwawa?
 
Unabii unaonyesha barua tatu kutoka TEC zitaandikwa, mbili zimekwisha tayari kuandikwa.

MENE, MENE, TEKELI & PERESI

Ukiacha utabiri .. mtu mmoja alohusika kwenye shambulio ashakamatwa ... Endelea na utabiri kiongozi 😂😂😂
 
Rais Magufuli alikuwa Rais wa kwanza kumpa ndugu(binamu yake Dotto Biteko) uwaziri Mama kampa mkwe (Mchemgerwa). JPM alikuwa rais wa kwanza kupendelea watu wa asili yake(wasukuma na watu wa kanda ya ziwa) Mama Samia kaendeleza kwa kupendelea wazanzibari. JPM alikuwa rais wa kwanza kupendelea kijiji au eneo alilokuwa na kuzaliwa (Chato) Mama Samia kaendeleza na kupendelea Kizimkazi Zanzibar. JPM ni rais wa kwanza aliyemtreat mpinzani kwa kumpiga risasi zaidi ya 60 Mama Samia kaendeleza kwa kumfungulia Lissu kesi ya uhaini ambayo hukumu yake ni kifo. Kwa hiyo haya yote ni muendelezo wa aliyoianzisha Magufuli mchangiaji wa mada yupo sahihi. Na atakayekuja ataendeleza haya anayofanya Mama Samia .
 
Shida ni kwamba nchi hii kijani hawataki kuambiwa ukweli..ukiwa na utashi ni kosa,wanataka tuitikie tu hata kama mambo hayako sawa! Ila viongozi wa dini ni sauti ya Mungu kuwapuuza ni kukaribisha balaa.
Muda ni mwalimu mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…