Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Muonekano wako kwenye picha unaoneka umekata taamaa Kabisa. Mwili wako ni Mkubwa ila unaonekana dhaifu. Punguza msongo wa mawazo, kubali hali halisi ya maisha ya Sasa unayoishi. A is A, Not A is not A
 
Ni hapa kwetu tu ndiyo watu wana akili matope, kwenye majanga ya namna hiyo mambo ya status huwa yanawekwa pembeni, kwani wote si watu? Wahanga siyo wa chama kimoja, hata wengine hawana vyama, tuache mitazamo ya kitoto tutazame core issue tushughulike nayo
 
Hiki ndio kile hawakupenda.....hawa makamanda wamezidi wale waliopanda kwenye mapaa ya nyumba
 
Wanaume on frontline by actions
 
Division 0 ya Form 6 ikiwa kazini, haya ndio matokeo yake, watu wamepata maafa makubwa, badala ya kutoa msaada walau hata kidogo, unaenda kutafuta political mileage na mipicha, magwanda kwenye misiba, ukikosa elimu bora au ukifeli shule hadi div 0 madhara yake makubwa sana kwa wafuasi wanao kufuata bila hata kujua unaenda wapi

NB: Kuwa na fedha haiondoi wewe kuwa ulifeli elimu na kupata div 0: Div 0 iko pale pale na madhara yake ndio haya hadi wafuasi wa div 0 kokote kule iwe mitaani au mitandaoni ni hopeless sana tunaona.
 
Wivu tu
 
Mungu aendelee kuwasimamia Hawa waheshimiwa... Kufika kwao tu imekuwa faraja Manyara yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…