Division 0 ya Form 6 ikiwa kazini, haya ndio matokeo yake, watu wamepata maafa makubwa, badala ya kutoa msaada walau hata kidogo, unaenda kutafuta political mileage na mipicha, magwanda kwenye misiba, ukikosa elimu bora au ukifeli shule hadi div 0 madhara yake makubwa sana kwa wafuasi wanao kufuata bila hata kujua unaenda wapi
NB: Kuwa na fedha haiondoi wewe kuwa ulifeli elimu na kupata div 0: Div 0 iko pale pale na madhara yake ndio haya hadi wafuasi wa div 0 kokote kule iwe mitaani au mitandaoni ni hopeless sana tunaona.