Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Akili zako ni za kitoto, Hanang ni eneo kubwa sana mfano ukitoa msaada Bunju na kumzuia anayetaka kutoa msaada Mwandege utakua na udhaifu wa kufikiri, misaada si mashindano ya vyama.
CCM kutokana na udhaifu wake wa kutojiamini imekua na tabia mbaya ya kuhodhi misaada na kuifanya ionekane wao ndio wameitoa kwa kuweka bendera zao, bado tunakumbuka upigaji mlioufanya kuhusu pesa za wanafunzi waliopata ajali Arusha kwa kuzipiga na pesa za tetemeko Bukoba ambako nako zilipigwa.
 
Hawa ndio viongozi wa kweli nchi hii.
 
Miamala inayotoka kwa wanachama,sijui hata kama wamefikisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwahy unamaanisha Mh Mbowe gwiji la siasa za kistaarabu Tanzania ni tapeli 😂 hapana bhana mbona jamaa sio mhuni kiasi hicho,
Au unataka kusema kuna mifuko ya cement imepelekwa uchagani kuongeza ukubwa wa hekalu la mheshimiwa huku vijana wake akina Erythrocyte wakifia chama wakiwa afya duni wakiishi kwenye mabati huku wakijipatia chakula chao yakimwagika chini ya meza ya Bwana mkubwa wao Mbowe 😂
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana! Sasa walikuwa wanawazuia wa kazi gani? Kuwapa mileage tu ya kisiasa! Sasa unaona wananchi wanawashangilia utafikri wao ndio wamekuja kuwakomboa! Polisi waache ujinga!
 
 
Hapo usishangae Makonda kesho akaenda, labda wakosekane punda wa yeye kupanda. Hakuna kitu kinaleta wivu kama ulazimishe kupendwa kisha hupendwi, na mwingine automatically anakubalika tu.
Kama kukubalika muda huu ndani ya miaka 21 mngekuwa mmeshika dola!
 
Mkuu umeongea pumba tu msukuma Ni darasa la 7 Tena la kuunga unga lakini bungeni anatoaga pont zaidi hata ya wenye phd zao.
 
Muonekano wako kwenye picha unaoneka umekata taamaa Kabisa. Mwili wako ni Mkubwa ila unaonekana dhaifu. Punguza msongo wa mawazo, kubali hali halisi ya maisha ya Sasa unayoishi. A is A, Not A is not A
Mwili u dhaifu ila tatizo ni mimba ya Mbowe aliyobeba na atajifungua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…