Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila yanga kupeleka sawa ila chadema waungane na ccm?Naunga mkono!
Nadhani Vyama vyote vingekabidhi misaada yote kwa Serikali ili kuonyesha Solidality na mheshimiwa Rais katika kupambana na janga hili.
"Tanzania kwanza siasa za Vyama baadaye."
Akili zako ni za kitoto, Hanang ni eneo kubwa sana mfano ukitoa msaada Bunju na kumzuia anayetaka kutoa msaada Mwandege utakua na udhaifu wa kufikiri, misaada si mashindano ya vyama.Binafsi sio mfuasi wa CCM ila napenda harakati za vyama vya upinzani
Ila hapa karibuni naona kama CHADEMA wanaleta siasa za kitoto na mbaya zaidi uelewa wa watanzania baadhi umekua sio kama zamani
Hivi kulikua na haja gani kulazimisha kwenda kutoa misaada yao siku ambayo raisi wa nchi anakwenda
Hivi hawakuona kama kumshushia heshima na hadhi yake raisi maana ilikua siku yake rasmi ya kwenda kuona madhara na kutoa misaada mikubwa ikiwemo kuwajengea makazi
Hivi wangechagua siku nyingine baada au kabla ya raisi kufika wangepungukiwa nini!?
Kwa hili CHADEMA mmeferi mjirekebishe hizi ni siasa za kitoto kwenye mambo ya msingi
HIVI MSAADA WA RAISI WA NCHI NA WA CHADEMA VINAWEZA KUFANANA KWELI!?
MJITAFAKARI CHADEMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA YANAWASHUSHIA HESHIMA YENU BADO MNAISHI KWA SERA NA HARAKATI ZA KIZAMANI
Hawa ndio viongozi wa kweli nchi hii.Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chao , Mwamba wa siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , baada ya Vuta Nikuvute, hatimaye wamefanikiwa kukagua uharibifu uliosababishwa na maporomoko ya udongo .
Katika Msafara huo uliokuwa ukishangiliwa na Wananchi kote ulikofanya Ukaguzi umepita kata za Katesh , Ganana na Jorodon
Katika kuhitimisha Ukaguzi, chama hicho kimekiri kuona Uharibifu Mkubwa uliotokea , kimetoa pole kwa Wahanga wote na kinatarajiwa kutoa Mwongozo .
View attachment 2836039View attachment 2836040View attachment 2836041View attachment 2836043View attachment 2836044View attachment 2836046View attachment 2836049View attachment 2836052View attachment 2836053
Dah kwahy unamaanisha Mh Mbowe gwiji la siasa za kistaarabu Tanzania ni tapeli 😂 hapana bhana mbona jamaa sio mhuni kiasi hicho,
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana! Sasa walikuwa wanawazuia wa kazi gani? Kuwapa mileage tu ya kisiasa! Sasa unaona wananchi wanawashangilia utafikri wao ndio wamekuja kuwakomboa! Polisi waache ujinga!Watanzania tujifunze kuwa na Solidality bila kujali vyama pale ambapo kumetokea Majanga, Maafa, nk
Tanzania kwanza Vyama baadaye!
Kwa hiyo Watanzania wote tuungane na Mheshimiwa Rais Dr.Samia Suhuhu kuona namna gani Serikali inaweza kuwasaidia wananchi wenzetu wa Manyara!
Hongera CDM kwa kuonyesha Solidality!
Binafsi sio mfuasi wa CCM ila napenda harakati za vyama vya upinzani
Ila hapa karibuni naona kama CHADEMA wanaleta siasa za kitoto na mbaya zaidi uelewa wa watanzania baadhi umekua sio kama zamani
Hivi kulikua na haja gani kulazimisha kwenda kutoa misaada yao siku ambayo raisi wa nchi anakwenda
Hivi hawakuona kama kumshushia heshima na hadhi yake raisi maana ilikua siku yake rasmi ya kwenda kuona madhara na kutoa misaada mikubwa ikiwemo kuwajengea makazi
Hivi wangechagua siku nyingine baada au kabla ya raisi kufika wangepungukiwa nini!?
Kwa hili CHADEMA mmeferi mjirekebishe hizi ni siasa za kitoto kwenye mambo ya msingi
HIVI MSAADA WA RAISI WA NCHI NA WA CHADEMA VINAWEZA KUFANANA KWELI!?
MJITAFAKARI CHADEMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA YANAWASHUSHIA HESHIMA YENU BADO MNAISHI KWA SERA NA HARAKATI ZA KIZAMANI
Kama kukubalika muda huu ndani ya miaka 21 mngekuwa mmeshika dola!Hapo usishangae Makonda kesho akaenda, labda wakosekane punda wa yeye kupanda. Hakuna kitu kinaleta wivu kama ulazimishe kupendwa kisha hupendwi, na mwingine automatically anakubalika tu.
Mbona wanatembea tuu hakuna hata la maana waliofanya, halafu ww jamaa acha uhuni yn umeweka picha ya gari ukimaanisha wao ndio wamelileta hapo au thubutu yenuIondoe Chadema
Nambie wametoa msaada gn hukoWakienda shida, wasipoenda shida. Kwani nyinyi nzi wa kijani mnatakaje?
Mkuu umeongea pumba tu msukuma Ni darasa la 7 Tena la kuunga unga lakini bungeni anatoaga pont zaidi hata ya wenye phd zao.Division 0 ya Form 6 ikiwa kazini, haya ndio matokeo yake, watu wamepata maafa makubwa, badala ya kutoa msaada walau hata kidogo, unaenda kutafuta political mileage na mipicha, magwanda kwenye misiba, ukikosa elimu bora au ukifeli shule hadi div 0 madhara yake makubwa sana kwa wafuasi wanao kufuata bila hata kujua unaenda wapi
NB: Kuwa na fedha haiondoi wewe kuwa ulifeli elimu na kupata div 0: Div 0 iko pale pale na madhara yake ndio haya hadi wafuasi wa div 0 kokote kule iwe mitaani au mitandaoni ni hopeless sana tunaona.
Ref: MengiWameenda kuuza sura tu, hakuna lolote, toka lini mchaga akatoa msaada
Mwili u dhaifu ila tatizo ni mimba ya Mbowe aliyobeba na atajifungua tuuMuonekano wako kwenye picha unaoneka umekata taamaa Kabisa. Mwili wako ni Mkubwa ila unaonekana dhaifu. Punguza msongo wa mawazo, kubali hali halisi ya maisha ya Sasa unayoishi. A is A, Not A is not A
Mzee, em tajeni misaada iliyotolewa na chadema. Mbona mnazunguka tuu kama waliopoteaWivu tu