Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Watu wanapiga safari za kwenda mwezini, kuishi Mars na kuchunguza galaxies nyingine wewe umejikita katika hadithi za dini na ushoga.
Mashoga lazima uwaone wakitetea hili

Sasa kuishi mars na ujinga/dhambi hii inayobarikiwa na kanisa vina uhusiano gani😀😀😀
 
Siku mtakapo fuata maelekezo ya Papa sijui kubariki, sijui ujinga gani? Eti, couple ya mashoga mnawabariki kanisani. Ndipo hapo nitakapo acha kabisa kwenda kanisani. Na hii msituone waumini tumekaa kimya tumechukizwa sana na kauli hiyo, haiingii akilini na ina leta ukakasi katika utekelezaji wake. Kuwapokea mashoga na kuwabariki kanisani yaweza kuwa mwanzo wa kuidhinisha ndoa za mashoga ndani ya kanisa Katoliki.
 
Kanisa halimbariki mtu kwa status zake ila linambariki muumini.
Halimbariki mwizi, halimbariki mzinzi, halimbariki mchawi ila linambariki mwamini aliyejitambulisha kuwa ni tunda la matokeo ya maungamo kulingana na neno la Keisto.
Sasa leo iwe je kanisa specifically kubariki ndoa za kinyume na maumbile?
Hakuna namna ila utimilifu wa vifungu vya neno la Mungu vikitimia.

Warumi 1:26-28
[26]Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
For this cause God gave them up unto vile affections: for even their women did change the natural use into that which is against nature:
[27]wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
And likewise also the men, leaving the natural use of the woman, burned in their lust one toward another; men with men working that which is unseemly, and receiving in themselves that recompence of their error which was meet.
[28]Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;

Yuda 1:5-7
[5]Tena napenda kuwakumbusha, ijapokuwa mmekwisha kujua haya yote, ya kwamba Bwana, akiisha kuwaokoa watu katika nchi ya Misri, aliwaangamiza baadaye wale wasioamini.
I will therefore put you in remembrance, though ye once knew this, how that the Lord, having saved the people out of the land of Egypt, afterward destroyed them that believed not.
[6]Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu.
And the angels which kept not their first estate, but left their own habitation, he hath reserved in everlasting chains under darkness unto the judgment of the great day.
[7]Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele.
Even as Sodom and Gomorrha, and the cities about them in like manner, giving themselves over to fornication, and going after strange flesh, are set forth for an example, suffering the vengeance of eternal fire.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wathubutu kupinga waone kama hawajatimuliwa na wanavyotememea kula kwenye sadaka watafanya kazi gani? 😂😂😂😂😂
 
Unakomalia hiyo habari wewe shoga?
 

 
Nadhani kuna swala ambalo mods wanabidi kulifanyia kazi,kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kufutiwa nyuzi zao,nijuavyo mimi sababu kubwa ni kuwa,mada inaweza kuwa haina maadili,inaweza kuwa ni ya uongo,inaweza kuwa ya kupotosha,inaweza kuwa imehamishwa kupelekwa/kuunganishwa na mada kama hiyo ambayo inawezekana kuna mtu alishapost n.k.Sasa hayo yote sio shida,kinachotakiwa mtengeneze utaratibu mnapofanya hayo mabadiliko isiwe siri,iwekwe wazi ili yule aliyepost ajuwe nini kimetokea,na hata wachangiaji wachache pia ambao walianza kuchangia wapate hiyo taarifa,kuliko kutoa tu kimyakimya bila ya hata kujulikana sababu ni nini...
 
Sisi tumeshastuka,

Tunajitofautisha nao Kwa kurudisha IBADA Jumamosi kama Kanisa la kwanza.

Ninyi subirieni mtakapoletewa Padr shoga ndo mtajua.
Kwa hiyo hawa wanaosali Jumamosi ndiyo unadhani hakuna mashoga ndani yao? Hivi wangekuwa sawa kiakili wangeweza kufunga safari ya kwenda Ufaransa bila tiketi wala viza?
 
Haya ni moja ya mafundisho ya mtume wako ndo maana huko zanzibar watalii wanakanyagana kwenda kuwala mapunga waliojazana huko.
Wanatoka Ulaya kula kulana kwenye Hoteli za Zanzibar

Lazima mliwe baba Mtakatifu kasema😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…