permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Puuzia taarifa za uongo.Huyu mwamba atakuwa wakala wa shetani ndani ya kanisa na kibaya zaidi inaonesha yeye ndio mwenye kauli ya mwisho, ukipingana nae unaenda na maji.
Kanisa limeshakufa, kule ulawiti wa wtatoto watumikiaji, hapa ndoa za jinsia moja kubarikiwa/fungwa kanisani, pale usioe mke zaidi ya mmoja n.k
Mimi kanisani basi tn tuishie jumuiya au tukache kabisa
Papa Francis anasema watu kubarikiwa hakuhitaji "ukamilifu wa kimaadili"
Saa 1 iliyopita
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.
Source: BBC swahili na Israel news
Mungu ndo anaruhusu haya yote, asingetaka angezuia, ipo ndani ya uwezo wake.Pope Francis makes it clear that he does not value theological precision and thinks there is something wrong with those who do. Due to his lack of precision, he is constantly making ambiguous statements.
Uhame UKATOLIKI kwa sababu ya kauli ya Pope ? Hapana, hauelewi namna RC inavyoendeshwa. Ni mtaguso mkuu tu ndiyo unatoa mwongozoWanaobudu huko wanasubiri nini kuhama?
Ni maoni yako tu, endelea kubaki hapo hapoMungu ndo anaruhusu haya yote, asingetaka angezuia, ipo ndani ya uwezo wake.
Hii sintofahamu inaonesha kabisa dini zimejengwa juu ya uongo, ila hamtotaka kuona hilo, mnanyosha vidole tu
Achana na uzushi wa watu, soma hiyo nyaraka uelewe, hakuna kubariki ndoa za jinsia moja, ila kiongozi wa dini anaweza kutoa baraka ili hata kama ni mtu mwovu, aache njia zake mbaya na aweze kumrudia Mungu.Mimi kanisani basi tn tuishie jumuiya au tukache kabisa
Mpaka watakapowekwa ukuni ukawasugua kunako ndio watastuka ๐๐Wanaobudu huko wanasubiri nini kuhama?
๐๐๐๐๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ In Mugabe's voicePapa angechumbiwa yeye kwanza .
๐ฎ
Apa unanipanga nimesoma nimeelewa ipasavyo kibari kishatolewa kuna nini apoAchana na uzushi wa watu, soma hiyo nyaraka uelewe, hakuna kubariki ndoa za jinsia moja, ila kiongozi wa dini anaweza kutoa baraka ili hata kama ni mtu mwovu, aache njia zake mbaya na aweze kumrudia Mungu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Furahieni tu bt mjue, Inakuja Kwa Islam pia, maana huyo ndo mwenye hizo dini mbili za mchongo.Mpaka watakapoheuzwa na ukuni ukawasugua kunako ndio watastuka ๐๐